Utukufu wa Mungu udumu milele; Mungu afurahi katika kazi zake.Jina la Mungu libarikiwe tangu sasa na hata milele. Kutoka maawio ya jua hata machweo yake, jina la Mungu lisifiwe.Bwana yu juu ya mataifa yote, utukufu wake u juu ya mbingu. Bwana, jina lako ladumu milele; Bwana, ukumbusho wako...