Amani iwe nanyi:
Natoa pole kwa vilabu vya Tanzania vilivyoumaliza mwendo katika mechi za awali za Mashindano ya Afrika ,nazungumzia Yanga,Azam na Kipanga.
Mara baada ya mechi za jana nilitulia kidogo kufanya tathmini kujua mapungufu ya vilabu vya Tanzania katika soka la Kimataifa, nikagundua...