Kwa mwenendo ulivokuwa hapo nyuma wa siasa katika nchi yetu, sikuona kabisa umuhimu wa kwenda kupiga kura katika uchaguzi ujao. Nilikata tamaa kabisa ya kura yangu ya mabadiliko kuheshimiwa.
Ila sasa nabadili gia, natamani hiyo siku ifike haraka nikapige kura tena kuyatafuta maendeleo ya kweli...