Kwa uchunguzi wangu mpaka nimefika hapa naamini hakuna kitu kinaitwa jini mahaba.
Hii dhana imekuja baada ya mume au mke kushindwa kutimiza wajibu wake mchezoni na kusingizia mwenza wake ana jini mahaba.
Ukweli ni kwamba kuna wanawake na wanaume ambao ngono kwao ni jambo kuu, kwa hiyo...
Kusema ukweli ni viumbe tu wa kawaida kabisa, yaani in soul anaongea na wewe na mtakaa vizuri tu.
Ukichepuka analia kule.
Then ndio unaanza kuona mabalaa. Machozi yake ni Lulu.
Siku ukikutana na huyo mwanamke hutatamani tena kuwa na kitu kinaitwa binadamu? Utaona raha zote zinapatikana pale...
Wadau jamani tukiacha matani ni wapi mty aende akatolewe jini mahaba anasumbua sana kiasi cha kuua hata walio karibu na huyu dada mpaka nasasa amekuwa anaadhiri sana maisha yake.
Ikiwemo uchumba kuharibika na riziki pia kaombewa, kanywa mafuta kafanya kila kitu umri unaenda naombeni mumsaidie...
Kwema?
Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika
Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia...
Kuna rafiki yangu amekutwa au naweza kusema anasumbuliwa na jambo ambalo dalili zake zinaonyesha kua huenda akawa na jini mahaba ndani yake. Kwaio ameniombea kupitia jukwaa hili la ma great thinkers niweze kumuulizia jambo hili.
Dalili zenyewe ambazo kwa maelezo yake ameziona ni kama zinaendana...
Tukiachana na tereza wa kule Kigoma ambao ni wanaume ambao walikuwa wakitembea uchi usiku huku mwili mzima wakiwa wamejimiminia mafuta ya mawese kisha kwenda kwenye majumba ya watu, kuvunja milango na kisha kuwaingilia wanawake kimwili, ambapo mwanamke akishtuka hutoka mbio na hawakamatiki...
Habarini za wakati huu ndugu zangu, moja kwa moja niende kwenye mada
Kumekuwa na wimbi kubwa na mateso makali sana ya haya matakataka (majini mahaba) kutesa watu wa jinsia zote kwa muda mrefu bila msaada na kusababisha huzuni kubwa katika maisha ya wahanga hawa.
Dalili zake ni nyingi sana na...
Baada ya kuona hili janga limegusa watu wengi sana hata humu Jukwaani kuna mada nyingi za Shuhuda mbalimbali kuhusu hili lijamaa.
Uzoefu unonesha hakuna aliyefanikiwa kupambana na hili Lijamaa yaani Binaadamu tumelishindwa
Mimi kama muhanga mkubwa wa hili janga sina haja ya kutoa ushuhuda...
Habari za muda huu ndugu zangu.
Mimi ni kijana Me 26 nimekulia maisha yenye furaha sana mpaka nilipofikia umri wa miaka 24 na kugundua mwili wangu haupo sawa. Yani nasumbuliwa na kiumbe aitwa jini mahaba apo awali nilikuwa nahisi furaha kupata ndoto ya jima na mwanamke ila hasara za huyu...
Habari zenu jamani,
Mimi ni kijana miaka 25 sijaoa ila nina mpenzi ambaye sijawahi fanya nae mapenzi kwasababu anamajini mahaba wawili kichwani kwake mmoja wa kiume na mwingine wa kike, mwezi hauishi bila kupandisha hayo mashetani yake. Pia majini mahaba hayo hayataki nizini na mpenzi wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.