Baada ya kuona hili janga limegusa watu wengi sana hata humu Jukwaani kuna mada nyingi za Shuhuda mbalimbali kuhusu hili lijamaa.
Uzoefu unonesha hakuna aliyefanikiwa kupambana na hili Lijamaa yaani Binaadamu tumelishindwa
Mimi kama muhanga mkubwa wa hili janga sina haja ya kutoa ushuhuda...