CCM inazidi kuanguka na sasa wananchi walio wengi zaidi ya uchaguzi uliopita, wameshaliona hilo kuwa CCM haina maslahi na wananchi zaidi ya wale walio kwenye viti na meza ambao hutembea na ladu na kashata kuwalisha wananchi.
Ahadi kedekede zenye matumaini yasiotabirika, sasa walio wengi...