Naanza kutanguliza salamu na shukurani hapa JF. Pili nawasilisha hii mada kwenu wajuzi tusaidiane ni mbinu zipi mtu anaweza kuzitumia kupunguza na kuacha kabisa kuvuta sigara
Baadhi ya mbinu ambazo zimesikita zikitumiwa na watu kuacha kuvuta sigara ni;
1 Kupunguza idadi ya uvutaji wa sigara...