jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. Askofu Mwamakula aonyesha jinsi CCM walivyoiba kura "kijinga" kabisa

    Halafu kuna mtu anadhihaki No Reform No Election (NRNE) My Take Sasa hii inatofauti gani na utapeli wa Nicole Berry😂😂😂😂
  2. Kwa jinsi CHADEMA inavyoongozwa kisayansi sasa! labda vyombo vya dola viamue vinginevyo ila hiki ndo chama tawala.

    Kwa sasa ukitaka kuona brain za nchi hii, nenda CHADEMA. Nawaelewa sasa CCM kwa kuanza kuchukua sera za Lissu na CHADEMA ikiwemo ukomo wa ubunge kupitia Viti Maalum kila la Kheri CHADEMA Allah azidi kuwaongoza!
  3. T

    JINSI YA KUSAFISHA AKILI

    . Karibu binti na mwana wa mama Afrika. Ukiingia katika maandiko Subconscious Mind inaitwa moyo au roho. Ukisikia fulani ana roho/moyo mzuri au mbaya ina maana hizo sifa zimejaa katika Subconscious mind yake. Na ndiyo maana ya kauli ya Yesu kusema kimuingiacho mtu si najisi bali kimtokacho...
  4. Operesheni Mogadishu:Jinsi Marekani ilivyolazimika kuikimbia Somalia na Askari waliovuja damu kwenye malori

    Operesheni Mogadishu: Jinsi Marekani ilivyolazimika kuikimbia Somalia na askari waliovuja damu kwenye malori Chanzo cha picha,Getty Images Maelezo ya picha,Helikopta za Black Hawk zilitumika katika operesheni nyingi za Marekani nchini Somalia katika miaka ya 1990. Saa 4 zilizopita Jeshi la...
  5. Tetesi: Jinsi ya Kuandika Tamthilia za Kiswahili kwa Maigizo ya Jukwaani na Redioni.

    Utangulizi Tamthilia ni sanaa ya maigizo ambayo huweza kuwasilishwa jukwaani, redioni, au hata kwenye televisheni. Hapa Tanzania, tamthilia zimekuwa sehemu muhimu ya burudani, elimu, na mafunzo ya kijamii. Ili kuandika tamthilia nzuri, ni muhimu kuelewa muundo wake, mbinu za uandishi, na jinsi...
  6. Naomba anayefahamu biashara ya Mbao anipe mchanganuo jinsi ya uendeshaji

    HABARI WANA JAMII FORUM Naomba maelekezo juu ya biashara ya mbao 1,upatikanaji 2,usafirishaji 3,jinsi ya UENDESHAJI wa biashara 4, mtaji wa chini kiasi gani 5,namna ya kutafuta soko
  7. Inasikitisha Inaliza, inaumiza, Video ya Mke wa Mgombea Uenyekiti CHADEMA Akisimulia Jinsi Polisi walivyomuua Mumewe Kwa Risasi usiku wa Manane!!.

    Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu. Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake. Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake...
  8. Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani

    Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia. Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000 Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao. Wasio na Pensheni. Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau. Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
  9. Hivi huyu Mshindi mpya wa Bongo Star Search Moses Luka siyo kwamba Soda yake haina Gesi kwa jinsi anavyoongea na kujilegeza?

    Kila nikiziangalia Interviews zake baada ya Kutangazwa Mshindi ninaona ni kama vile labda Soda yake haina Gesi kabisa.
  10. Thomas Sowell: Jinsi Ujamaa wa Nyerere ulivyoiharibu Tanzania

    Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika. Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC. Kwenye hii video, anaizungumzia Tanzania na sera yake ya Ujamaa chini ya Rais Nyerere. Isikilize/ iangalie halafu...
  11. Ubunifu mchanganyiko: unaweza kuona jinsi tulivyoachwa mbali na wenzetu

    Hapa ni plastic free society.. Wanajaribu kupunguza matumizi ya vifungashio vya plastic vyenye madhara
  12. **Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer)**

    Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer) Katika pitapita zangu nimekutana na maelezo kuhusu dark web internet ambayo haiwezi kufikiwa na injini za utafutaji za kawaida, watu wengi wamelezea inavyo tosha kuelewa sehemu hii ya internet, nitakacho kupa hapa ni faida kama haujawahi...
  13. R

    Hawa ndio 'wagalatia' waliologwa! Tena, tuone jinsi wanavyologwa. (gal 3:1)

    Katika dunia ya leo, tuna swali kubwa kuhusu watu wanavyodanganywa KIRAHISI na manabii wa uongo ambao hapahitajiki akili yoyote kubwa katika kuwatambua. Manabii wa uongo ndio wamekuwa kirusi kilichoupaka wokovu matope. Ujue, watu wa dini huwa hawajui kutofautisha kati ya vituo vya maombezi na...
  14. Makala mengi kuhusu Freemason yanatofautiana sana. Naamini hakuna mwenye concrete info juu yao. Hii ni ishara jinsi gani FM walivyo na weledi mkubwa.

    Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason 😂 Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" 😂 Anyway, Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa wangejulikana kwa kina kuhusu utendaji wao basi ingekuwa rahisi wao kuwa infiltrated na kuwa dis-organized...
  15. Jinsi nilivyorudisha tabasamu la baba wa miaka 65 kutoka JF

    İlikuwa February 12 nilipokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa ameniona JF. Mzee: “ Samahani nimeona post zako hivi JF Nina Shida ya Kinywa na meno nimepoteza meno yangu yangu nikiwa na Miaka 48 hivyo nahitaji Huduma ya meno bandia ya Kudumu, si Nita we za Kutafuna!? “ Mimi :”Ndyo...
  16. Jinsi Panyabuku walivyofanya bure kazi ambayo serikali ilitenga dola millioni 1.2 ( Tsh Billioni 3.24 ) kwaajili ya kuifanya

    Huyu ni Panyabuku maji, anaishi kwenye maji na nchi kavu. Wakati mradi wa kujenga dimbwi la maji huko jamuhuri ya Czech ulikua umekwama kwa ajili ya vibali vya ujenzi kwa miaka 7, licha ya kupata ufadhili wa dola millioni 1.2 kukamilisha ujenzi huo siku moja watu wa maeneo hayo waliamka...
  17. Mazungumzo ya amani vita vya Ukraine yanaonyesha jinsi gani dunia imejaa unafiki sana

    Kituko cha kwanza mazungumzo yanafanyika pasipo wahusika wakuu Ukraine kuwepo katika hayo mazungumzo! Yani ni sawa na umemkamata mgoni anamtafuna mke wako ukazua ugomvi halafu wapatanishi wanakuja wanamchukua mgoni wako wanaenda kukaa naye kikao peke yao wanamuuliza anataka nini kumaliza kesi...
  18. Biashara ambazo unaweza kuanzisha bila FREMU na jinsi ya kuzianzisha!

    Biashara ambazo unaweza kuanzisha bila FREMU na jinsi ya kuzianzisha! Maisha ni magumu, na najua kuna wakati unatamani kufanya biashara, lakini ukijiangalia, mtaji ulionao ni mdogo, hivyo huwezi kupangisha fremu na kununua bidhaa. Kuna biashara nyingi unazoweza kuanza bila kupangisha fremu...
  19. Freemasons waliwezaje kustahimili upotoshaji wa Kariakoo?

    Mnakumbuka alipofariki msanii maarufu wa filamu Tanzania Steven Kanumba liliibuka wimbi la vijana wengi wengine wakiwa na lafudhi za nchi jirani waliokuwa wakikusanya watu na kuelezea habari za freemasons Tena kwa UPOTOSHAJI mkubwa. Freemasons Tanzania hawakujibu chochote kusahihisha upotoshaji...
  20. Jinsi unavyoweza kutengeneza million 20 mwaka huu 2025

    Tafuta product moja unayoweza kuweka nguvu zako. Bidhaa hiyo utaiuza kwa sh elfu 10 kwa wateja 2000 kwa mwaka. Hakikisha ni bidhaa inayohitajika sokoni. 10,000 * 2000=20,000,000. Mfano zalisha mafuta ya ngozi target wateja 2000. Yabrand kwenye social media na mtaani utapata hiyo pesa. Au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…