jinsi

Hu Jinsi (胡進思) (died April 28, 948) was a general of the Chinese Five Dynasties and Ten Kingdoms Period state Wuyue, becoming powerful during the reign of its third king Qian Hongzuo (King Zhongxian). After Qian Hongzuo's death, Hu had frequent conflicts with Qian Hongzuo's brother and successor Qian Hongzong (King Zhongxun). Fearing that Qian Hongzong would kill him, he deposed Qian Hongzong in a coup and replaced him with his brother Qian Hongchu (King Zhongyi, later known as Qian Chu).

View More On Wikipedia.org
  1. Jinsi ya kuona sayari kwa macho

    Wengi wameandika kuhusu kuangalia sayari zkuanzia jana ila hawajaweka urahisi wa jinsi ya kuziona kwa macho pale anga likiwa jeupe bila mawingu. Nitatoa maelezo kidogo ili kuwasaidia wengi waweze kuziona. Haya maelezo ni kwa wale wapo karibu na Ikweta zaidi. Ukiwa mbali na Ikweta basi utaona...
  2. M

    JK hakwepi lawama kwa jinsi CCM ilivyogeuka kikundi cha watu wachache badala ya kuwa chama cha mamilioni ya wanachama

    Naam, hili wala halina ubishi. Katika watu ambao hawawezi kukwepa lawama katika kuvuruga chama cha Mapinduzi na hatimaye kuiweka nchi katika sintofahamu na kupelekea nchi kukosa muelekeo ni huyu JK. 1. BIFU LAKE BINAFSI NA EL LILIVURUGA CCM. Kila mtu anakumbuka jinsi EL alivyokatwa katika...
  3. K

    KERO Serikali iangalie jinsi ya kuondoa kero ya moshi karibu na Uwanja wa Nyamagana, Mwanza

    Uwanja wa Nyamagana ambao upo katikati ya Jiji letu la Mwaka ni moja ya sehemu ambayo inatukutanisha Wadau wengi wa michezo hasa mchezo wa miguu. Pamoja na maboresho ambayo yamefanyika uwanjani hapo lakini bado changamoto ni suala la moshi unaotokana na mapishi unaotawala eneo hilo mara nyingi...
  4. JINSI MPIGA BAO (RAMLI) ALIVYOTIWA NGUVUNI

    JINSI MPIGA BAO (RAMLI) ALIVYOTIWA NGUVUNI Kutoka kitabu Masimulizi ya Mtawa Maporini kitabu cha pili. Unaweza kisoma bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo Playstore. Siku moja Juma aliniomba ruhusa ya kwenda kumtazama rafiki yake mwendo wa saa mbili kutoka pale kambini. Nikampa. Aliahidi...
  5. Jinsi Mark Zuckerberg alivyopagawa na vazi la Mke wa Jeff Bezos jana.

    Wakati wa sherehe ya kuapishwa kwa Rais Donald Trump tarehe 20 Januari 2025, tukio lililomhusisha Mark Zuckerberg, Mkurugenzi Mtendaji wa Meta (zamani Facebook), lilivutia sana. Video moja ilimuonyesha Zuckerberg akitazama kifua cha Lauren Sánchez, mchumba wa mwanzilishi wa Amazon, Jeff Bezos...
  6. Kwa jinsi nilivyoharisha leo, natangaza kuacha pombe aisee

    Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae. Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea. Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka. Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.
  7. Jinsi ya Kujitayarisha na Kujibu Aptitude Test au Written Test Usaili wa walimu

    Jinsi ya Kujitayarisha na Kujibu Aptitude Test au Written Test 1. Tambua Majukumu Yako ya Kazi Anza kwa kuelewa kwa kina majukumu yako ya kazi. Unganisha majukumu hayo na dhana maalum, kanuni za utendaji, au moduli zinazohusiana. Hii itakusaidia kuelewa lengo la swali, nini kinachopimwa, na...
  8. Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akupatie Pesa Zake au Akuhonge Pesa Nyingi

    Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akupatie Pesa Zake au Akuhonge Pesa Nyingi Kabla ya kuingia kwenye somo hili, ni muhimu kufahamu kuwa uhusiano wa kweli unapaswa kujengwa kwenye msingi wa upendo, heshima, na uwazi. Hata hivyo, kwa wasichana walio kwenye mahusiano, kuna njia za kimaadili za kumfanya...
  9. Jinsi ya Kujua Kama Mwanamke Anakupenda au Hakupendi

    Dalili za Mwanamke Kukupenda Anaonyesha Kupenda Kuwepo Karibu na Wewe Atafurahia kutumia muda na wewe, hata kama ni kwa mambo madogo kama kupiga stori au kushiriki shughuli zako. Hutafuta sababu za kuwasiliana, kama vile kutuma ujumbe au kukuuliza maswali yasiyo ya lazima ili tu muendelee...
  10. Jinsi ya kujua kama mwanaume anakupenda au hakupendi

    Dalili Kwamba Anakupenda Anaonyesha Kujali kwa Moyo wa Dhati Anakufuatilia kujua hali yako (mwenendo wako wa kila siku, afya yako, au matatizo yako). Anachukua hatua kukusaidia bila ulazima, iwe kwa kukushauri au kukutegemeza. Anaweka Muda wa Kukaa na Wewe Licha ya ratiba zake kuwa na...
  11. Jinsi Fundi Ujenzi Anavyoweza Kujitangaza Kwenye Internet Bila Gharama Kubwa

    Fundi ujenzi mwenye maarifa ya kazi yake anaweza kufikia wateja wengi zaidi kwa kutumia mitandao ya kijamii na mbinu nyingine za kidigitali. Katika makala hii, tutajadili hatua rahisi ambazo fundi ujenzi anaweza kuchukua ili kujitangaza kwa ufanisi na kupata kazi nyingi zaidi. 1. Tumia Mitandao...
  12. Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kuuza Nguo au Kufanya Biashara ya Nguo

    Biashara ya nguo ni moja ya njia maarufu na rahisi ya kuanza kufanya biashara online. Katika makala hii, tutachambua jinsi unavyoweza kuanza kuuza nguo mtandaoni kwa kutumia mbinu rahisi na ambazo hazihitaji mtaji mkubwa sana. 1. Chagua Aina ya Nguo Unazotaka Kuuza Kabla ya kuanza, lazima uamue...
  13. Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kutumia Social Media kama Instagram, X, na Facebook

    Katika dunia ya sasa, social media imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, na kwa wale wanaojua kuitumia vizuri, ni chanzo kizuri cha kipato. Hapa nitakuelezea njia rahisi na za uhakika za kupata pesa online kupitia majukwaa kama Instagram, X (zamani Twitter), na Facebook. 1. Kuanzisha...
  14. Jinsi Ziwa Natron linavyoweza kuifanya Tanzania kuwa moja ya mataifa tajiri duniani

    Ziwa Natron linalopatikana Kaskazini Mashariki mwa Tanzania mkapani na Kenya lina chemical materials ambazo ni muhimu viwandani. Ziwa Natron lina sodium carbonate na baking soda zenye matumizi mbalimbali. Kama umeangalia kwa makini mwendelezo katika nyanja za sayansi, teknolojia na uvumbuzi...
  15. Fahamu jinsi content creators wanavyojiingizia kipato

    Content creators au watengenza maudhui katika mitandao ya kijamii huingiza pesa katika namna mbili. Namna ya kwanza ni ile ya kulipwa na platform husika (mf. X.com, tiktok au YouTube) Namna ya pili ni ile ambayo naweza kuita kujiongeza au niite monetization. A. Kulipwa na platform husika...
  16. JINSI 2PAC ALIVYOTENGENEZA NGOMA YA AMBITION AS RIDAH

    Jinsi 2Pac Alivyobuni "Ambitionz Az a Ridah" 😯 "Ambitionz Az a Ridah" ni wimbo wa ufunguzi katika albamu ya nne ya studio ya 2Pac, "All Eyez on Me," iliyotolewa mwaka 1996. Jina la wimbo huu ni mchanganyiko wa maneno unaoonyesha azma ya 2Pac na maisha yake kama "ridah" (mwana mtaa au...
  17. Jinsi Ambavyo Ningefanya Baada ya Kuishika Milioni 100 za haraka

    Kuna wakati mtu unapata pesa za haraka alafu unashindwa kuwaza ufanye nini kwa haraka ili pesa yako isiishe bila kufanya cha maana. Wengine wanapata kutoka kwenye kiinua mgongo, mafao fulani, wengine mkopo, wengine ni mgao fulani, wengine wanagawiwa kama zawadi n.k Kama mimi ningebahatika...
  18. Jinsi Mpigania Uhuru, Wafanyabiashara wawili, DJ na Mmiliki Bar walivyofanikisha mwaliko wa Bob Marley nchini Zimbabwe kwenye Hafla ya Uhuru 1980

    Ilichukua mzalendo, mpigania uhuru asiye na woga na katibu mkuu wa Zanu-PF kuandaa sherehe za uhuru wa Zimbabwe. Kwa msaada wa wafanyabiashara wawili, mmiliki wa baa na mtangazaji wa redio waliweza kupanga njia ya mwaliko wa Robert Nesta (Bob) Marley. Mkongwe wa kitaifa Cde Edgar Zivanai “Two...
  19. Jinsi nilivyotibika Bells Palsy/Facial Paralysis (Uso kupooza upande mmoja)

    Hello all, Ninapenda kushare nanyi nilivyotibika tatizo la uso kupooza. Ninafanya hivi kumsaidia mtu yeyote ikitokea amekutana na changamoto kama hii. Niligundua wakati naswaki usiku najaribu kusukutua mdomo unagoma hauna uwezo wa kuhold maji mdomoni nikapata panick attack moja ya heshima...
  20. Jinsi ya kufanya ili ulimwengu ukusikilize

    Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela 💞UMSIKILIAYE NDIYE AKUSIKILIZAYE 🗣️Kuna vitu katika jamii vikifanyika vinachukuliwa Kama uchawi au kiini macho, Siyo kwamba kiini macho hakuna, vipo na vinafanyika kila siku pasipo wengi wetu kuvitambua Kama Ni viini macho. ✍️Ulimwengu wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…