jinsia mbili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. errymars

    Trump Kutia Saini Agizo linalokataza Waliobadili jinsia kutumikia Jeshi la Marekani

    Kulingana na ripoti ya kipekee kutoka gazeti la New York Post, utawala wa Trump unadai kuwa wanataka tu watu wenye uwezo wa kuhimili mahitaji makubwa ya kimwili ya huduma hiyo. Soma Pia: Donald Trump: Kuanzia sasa Serikali ya Marekani itatambua jinsia mbili pekee, Mwanaume na Mwanamke Ripoti...
  2. Mkalukungone mwamba

    Waziri Mkuu wa Slovakia, Robert Fico, ametangaza mipango ya kuweka katika katiba ya nchi hiyo utambuzi wa jinsia mbili tu

    Waziri Mkuu wa Slovakia, Robert Fico, ametangaza mipango ya kuweka katika katiba ya nchi hiyo utambuzi wa jinsia mbili tu – mwanaume na mwanamke. Alitoa tangazo hili kupitia kipindi cha "Saturday Dialogues" cha mtangazaji STVR. "Niliibuka na wazo la kujumuisha kipengele katika katiba...
  3. incognitoTz

    Uchambuzi: TRUMP na suala la Marekani kutumbua jinsia mbili, Wamefikaje huko?

    Misuguano ya hivi karibuni juu ya masula ya jinsia ilianza baada ya yanyongeza katika "Title IX" iliyoathiri Marekebisho ya sheria ya Elimu ya 1972 (Education Amendments of 1972) Nyongeza ya Title IX, Inasema: "Hakuna mtu nchini Marekani, kwa misingi ya jinsia, atatengwa kwa kushiriki...
  4. F

    Ni kweli wanawake wenye jinsia mbili wapo?

    Hizo story huwaga ni kweli au ni uzushi tu? Kuna story zimezagaa huku Sinza kuna mdada anaitwa Mina wanasema ana jinsia mbili na zote zinafanya kazi. Je jambo hili linawezekana kisayansi?
  5. greater than

    Kipimo cha ugumu au wepesi wa Fani au kazi ni wingi au uchache wa Jinsia fulani katika fani/kazi hiyo?

    Je, kuna ukweli wowote kwamba; Ukiona fani ina Idadi kubwa ya wanafunzi wa kiume kuliko wa kike basi jua hiyo fani ni ngumu? Ukiona fani ina Idadi kubwa ya Wanafunzi wa kike, basi jua iyo fani ni nyepesi? Je, nadharia hizo ni kweli hadi makazini?
  6. Dam55

    Kwanini Mungu hakufinyanga mavumbi ya nchi kuumba mwanamke badala yake akachukua nyama toka kwa Adam?

    Ni swali ambalo nimejiuliza sana kwa wajuvi na wenye Elimu basi mnisaidie majibu tafadhali. Tukisoma maandiko tunaona kuwa Adam aliumbwa kwa mavumbi ya nchi ila ilipokuja kesi ya kuumbwa mwanamke HAWA/EVA mambo yakawa tofauti. Mungu akampa Adam usingizi mzito kisha akatoa nyama ubavuni pa Adam...
  7. NetMaster

    Mungu aliumba jinsia mbili, mwili moja ni kujamiana, kwanini makanisa yanatumia maneno haya kulazimisha ndoa ya mke moja kinyume na utaratibu wa Mungu

    Ukweli huwa haubadiliki hata watu wengi wakiamini uongo ama kudanganywa bila kujua. Suala la makanisa kutumia hayo maneno ni upotoshaji mkubwa Mungu alimuumba mwanaume na mwanadamu, Hapo kinachozungumziwa ni jinsia alizoumba, hakukuwa na jinsia ya tatu, hapa sioni kama kuna valid point...
  8. Kaka yake shetani

    Watu wenye jinsia mbili ni kama Serikali imewasahau kuwasaidia

    Serikali ina wajibu kumuangalia kila mwananchi wake sehemu mbalimbali. Ila watu wenye jinsia mbili ni kama serikali imewasahau na kuwatelekeza kabisa. Mara ya kwanza sikuwa naelewa kuhusu ili swala mpaka nilipoweza kuona makala BBC swahili ikieleza changamoto wanazopitia tokea wadogo mpaka...
Back
Top Bottom