jinsia ya tatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mahusiano: ni maajabu sana, Kuna jinsia ya tatu ( ukiacha KE/me )

    Sijui kama huu Uzi utabaki hapa, ila lengo kuu mjifunze kitu Mnaweza msinielewe kabisa, na kujua lengo la thread hii ni Nini ok?? Hii Dunia imekwishwa wakuu, mpaka naandika hichi kitu natokwa na machozi kuanzia moyoni mpaka machoni. Imebidi niaze na neno mahusiano, ili huu Uzi uwe hapa ili...
  2. Duniani kuliwahi kuwa na jinsia ya tatu ukiacha ya me na ke

    Husika na kichwa cha habari hapo juu Ukisoma maandiko kitabu cha mwanzo kwenye habari za nuhu aliyejenga safina maandiko matakatifu ya biblia yanatumbia kuna malaika walimkosea Mungu wakaja Duniani kwa hali ya kimwili walifahamika kama wanefiri , wanefiri wakavutiwa na wanawake...
  3. Wajue hijra, ama jinsia ya tatu kutoka India

    Jamii ya Hindu huko India tangia zamani za kale wamekuwa wakiishi na watu wanaojitambulisha kama wasio na jinsia, yaani sio wa kike wala sio wa kiume. Ndani ya jamii, watu hawa wamekuwa wakifanya shughuli mbalimbali za kijamii kama kutoa baraka kwa watoto, baraka kwa wenzi wa ndoa ili kuongeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…