jiografia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Tatizo kubwa la usafiri Dar inawezekana ni idadi kubwa ya watu na jiografia ya mji ilivyokaa

    Dar es Salaam, asubuhi karibia theluthi mbili ya wakazi wote wa mji wanaofanya kazi wanaenda Kariakoo, Posta na Ubongo katika maofisi, kwenye biashara na pia kufuata huduma mbalimbali za kiofisi, halafu jioni tena karibia watu wote hao wanageuza kurudi makwao kwa pamoja kama kumbi kumbi. Kwa...
  2. Rorscharch

    Hitimisho la Uchunguzi: Jiografia kama Sababu Kuu ya Kudumaa kwa Maendeleo ya Afrika (tumtue kidogo mkoloni mzigo wa lawama)

    Kwa yoyote ambaye amekuwa akifuatilia makala zangu za hivi karibuni, bila shaka ameona kwamba nimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu sababu za kudumaa kwa maendeleo ya bara letu. Ingawa ukoloni mara nyingi hupewa lawama kubwa, uchambuzi yakinifu wa kihistoria na kijamii unaonyesha kwamba hata bila...
  3. Pfizer

    Singida: Mkurugenzi wa NIRC, Raymond Mndolwa akimuonesha Waziri Dkt. Mwigulu ramani ya jiografia ya bonde la umwagiliaji Ulemo-Zinziligi-Mbelekese

    Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) Raymond Mndolwa akimuonesha Waziri wa Fedha, Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) ramani ya jiografia ya bonde la umwagiliaji Ulemo-Zinziligi-Mbelekese lililopo katika halmashauri ya wilaya ya Iramba mkoani Singida. Aidha Mndolwa amewaelekeza...
  4. K

    Shemeji zangu Wagogo wako vizuri kwa Jiografia!

    Habari wanajf,Nipo hapa Dodoma ingawa mwenyewe ni mwenyeji wa Mbeya.Nimeishi hapa Dodoma kwa zaidi ya miaka kumi(10)na kubahatika kuoa mgogo,nimegundua kwamba wapo vizuri kwa jografia!Ukiwa mgeni hapa na unaulizia mahali pa kwenda wao hawana kuelekeza pita kushoto au kulia ,au mbele wao husema...
  5. S

    Engineer Godfrey Kasekenya Nimependa unavyoifahamu jiografia ya nchi yetu

    Mhandisi Godfrey Kasekenya naibu waziri wetu wa uchukuzi na ujenzi sekta ya ujenzi. Jana ulikuwa unasain mkataba wa ujenzi wa barabara ya Karatu-Mbulu-Haydom-Nduguti-Gumanga-Ibaga-Sibiti-Meatu-Lalago-Maswa. Siku zote huwa nafurahi ukijibu maswali bungeni hasa ukitaja meneo yanakopita barabara za...
  6. ChoiceVariable

    Eti unajenga bandari ya Karema Ili upunguze Malori Tunduma, kwa Jiografia ipi hiyo?

    Hawa wanaopanga na kufanya hii miradi Huwa wanajua wanachokifanya au wanakurupuka tuu? Yaani Mizigo Mingi inayopita Tunduma inaenda DRC(Lubumbashi), Zambia na Zimbabwe ambako route Yao fupi ni via Tunduma.. Sasa inawezekanaje mizigo itoke Dar iende Karema then ivuke Ziwa itafute Barabara ndio...
  7. Rebeca 83

    Jiografia ya Matibabu (Medical Geography)

    Hello Great Thinkers, Nimeona hii kitu japokuwa sijaenda deep kujua kiundani,, ila nimeona nifanye ku share na nyinyi ili kama mtu anapenda atafute zaidi. Hii ni kama elimu inayoonyesha jinsi au kwa nini Magonjwa fulani yanaaffect zaidi watu(population) ya sehemu fulani (geographical areas)...
  8. P

    TAMISEMI angalieni Jiografia ya mgawanyo wa Wilaya na Halmashauri

    Katika hilo Mh N/Spika kuna shida kubwa sana TAMISEMI kuhusu matumizi mabaya ya fedha bila kuangalia changamoto. Mfano: Kuna tamko lilitolewa awamu iliyopita kuwa Halmashauri ziende kwenye maeneo yao ya kiutawala. Sasa utakuta wapo nje ya jiografia ya huduma na pia unaanza gharama za ujenzi wa...
  9. Z

    Spika Ndugai: Ajira ziwe zinazingatia usawa wa Kijografia

    Spika ndugai alinena hiyo jana akiwa bungeni alitahadharisha sana kama taifa tuna hitaji ajira zinazo serikalini zizingatie uwiano ulio sawa yaani kimikoa, na hata Kidini. Ametahadharisha endapo ajira zitaelemea kuajiri au hata kuteua watu wa aina mmoja kwa maana ya kimaeneo hata kiimani moja...
Back
Top Bottom