jirani zangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pridah

    Naombeni ushauri kuhusu nyumba yangu niliyoijenga Maramba Mawili

    Hi JF. Ndugu zangu naomba mawazo yenu. Ni hivi, kuna nyumba iko hapo Mbezi Maramba mawili naona kama nilipoteza muda na hela zangu bure coz haina faida yeyote kwangu tokea nimeijenga. Ilipokamilika nilimpa uncle wangu na wife wake wakae. Baada ya miaka 3 ndugu akajiongoza akaenda panga 2...
  2. Wakuperuzi

    Hii inakuwa imekaaje?

    Hapo kwa jirani zangu wa Love Connect wanafurahisha sana. Unakutana na uzi wa mdada ni H.I.V postive anatafuta mwenza wa kuendana nae ili wayajenge, matokeo yake unakutana na replay za pole na usijal utapata! Ila ngoja ifike kesho, unakutana na uzi njemba inatafuta mwenzi ambaye ni H.I.V...
  3. Kaka Yaoh

    Kwanini jirani zangu hawanichangamkii?

    Hipo hivi, Jumapili hii niliandaa tafrija nikaalika ndugu na marafiki zangu wa karibu waje kujumuika na mimi kwenye hii nyumba yangu mpya ambayo hipo nje kidogo ya mji wakati tafrija hii ikiendelea nikaona isiwe tabu kufungua mlango ili yeyote atakayetaka kujumuika na sisi basi nae akaribie...
Back
Top Bottom