jirani zangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naombeni ushauri kuhusu nyumba yangu niliyoijenga Maramba Mawili

    Hi JF. Ndugu zangu naomba mawazo yenu. Ni hivi, kuna nyumba iko hapo Mbezi Maramba mawili naona kama nilipoteza muda na hela zangu bure coz haina faida yeyote kwangu tokea nimeijenga. Ilipokamilika nilimpa uncle wangu na wife wake wakae. Baada ya miaka 3 ndugu akajiongoza akaenda panga 2...
  2. Hii inakuwa imekaaje?

    Hapo kwa jirani zangu wa Love Connect wanafurahisha sana. Unakutana na uzi wa mdada ni H.I.V postive anatafuta mwenza wa kuendana nae ili wayajenge, matokeo yake unakutana na replay za pole na usijal utapata! Ila ngoja ifike kesho, unakutana na uzi njemba inatafuta mwenzi ambaye ni H.I.V...
  3. Kwanini jirani zangu hawanichangamkii?

    Hipo hivi, Jumapili hii niliandaa tafrija nikaalika ndugu na marafiki zangu wa karibu waje kujumuika na mimi kwenye hii nyumba yangu mpya ambayo hipo nje kidogo ya mji wakati tafrija hii ikiendelea nikaona isiwe tabu kufungua mlango ili yeyote atakayetaka kujumuika na sisi basi nae akaribie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…