Mimi naishi na familia yangu tumepanga, basi bhana jirani yetu ni handsome sana ila mkorofi na mchungu but anapendeza sana .
Siku Moja alinikuta na mwanaume best yangu akawa Hana amani amezoea kunisalimia ila hiyo siku hajanisalimia sijui nikwanini Huwa hapendi nikiongea na wanaume ila haongei...