Jitabue na jithamini,
Kwa hali ya kawaida tu unaweza usielewe namanisha nn lakini kumbuka ya kuwa Mungu alivyo kuumba wewe tofauti kabsa na mtu yoyote hapa dunia hii inamaana gani Mungu ameweka kipawa ndani yako cha kipekee sana kabisa yaani hicho kipawa kama utabahatika kukijua hakika maisha...