Kuelekea miaka 50 ya Shule ya Sekondari Jitegemee, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Denis Londo amewataka wananchi wakiwemo viongozi mbalimbali waliowahi kusoma katika shule hiyo ya jeshi kuunganisha nguvu kuwezesha maboresho ya miundombinu ya shule hiyo...