jkia

Jomo Kenyatta International Airport (IATA: NBO, ICAO: HKJK), is an international airport in Nairobi, the capital of and largest city in Kenya. Located in the Embakasi suburb 18 kilometres (11 mi) southeast of Nairobi's central business district, the airport has scheduled flights to destinations in over 50 countries. Originally named Embakasi Airport, the airport's name was changed in 1978 to honor Jomo Kenyatta, Kenya's first president and prime minister. The airport served over 7 million passengers in 2016, making it the seventh busiest airport in passenger traffic on the continent.

View More On Wikipedia.org
  1. Logikos

    Kenya yavunja Mikataba na Adani (Ruto aagiza taasisi husika kutafuta watoa huduma wengine kwa mchakato wa Upanuzi wa JKIA)

    Rais wa Kenya William Ruto, ameagiza kusitishwa kwa kandarasi ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa JKIA na ya nishati iliyopewa kampuni ya Adani kutoka India. “Nilishawahi kusema huko nyuma, na narudia tena leo kwamba kutokana na ushahidi usio na shaka au taarifa za kuaminika kuhusu rushwa...
  2. Mindyou

    Whistleblower aliyefichua uwanja wa ndege wa Kenya kuuzwa ahofia maisha yake

    Nelson Amenya, kijana aliyefichua mazungumzo ya siri kati ya serikali ya Kenya na kampuni ya Adani Group ya India kuhusu mpango wa kuchukua usimamizi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kwa miaka 30, sasa anadai kuwa maisha yake yako hatarini kutokana na vitisho alivyopokea...
  3. Archnemesis 2-0

    Wafanyakazi wa JKIA wagoma tena, wasafiri wakwama airport.

    Kwema Wadau, Kama mnakumbuka mwezi wa 8 hapa katikati wafanyakazi wa Jomo Kenyatta International Airport walifanya mgomo.. kwa kweli niliona ile ishu juu juu skufatilia zaidi. Sasa hapa nasikiliza D.W lunch time nasikia shughuli zote za usafiri JKIA zimesimamishwa na wafanyakazi wamegoma mgomo...
  4. Yoda

    Kwanini serikali ya Kenya wanakodisha uwanja wa ndege wa JKIA kwa Wahindi wa Adani?

    Huko Kenya kuna mabishano makali ya kisiasa baada ya serikali ya Ruto kuamua kuikodishia kampuni ya Wahindi ya Adani Group uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA) uliopo Nairobi. Mpaka sasa haijaeleweka hasa sababu za msingi za Serikali ya Kenya kuwakodishia Adani uwanja huo ukizingatia ni...
  5. J

    Adani anayeomba kuuendesha JKIA ndio huyu wa TPA?

    Adani anajadiliwa sana Citizen TV na BBC kuanzia jana akihusishwa kutaka Kukodi Uwanja wa Ndege JKIA lakini huko India ana utata kwenye masoko ya Hisa Nilisikia hapa Tanzania kuna ADANI pale TPA ndio nauliza ni huyu au ni yule Aidan Macmillan? Mlale Unono 😀😀 Kwako Choicevariable --- Kenya...
  6. N

    Kenya: Umeme wakatika nchi nzima na kuacha abiria kwenye uwanja wa ndege wa JKIA wamekwama

    Wakati Tanzania ikishuhudia mgao wa umeme maeneo mengi ya nchi, huko Kenya hali ya upatikanaji wa umeme pia imekuwa kizingimkuti. Jana tarehe 10/12/2023 umeme ulikatika nchi nzima na kuathiri shughuri za uwanja wa Ndege wa JKIA, huku backup jenereta pia zikishindwa kuwaka hali iliopelekea giza...
  7. Shujaa Mwendazake

    Kwa picha: Hali JKIA baada ya marubani wa Kenya Airways kutangaza mgomo

    Abiria wamekuwa wakipanga foleni katika kituo cha wasafiri wa kimataifa katika uwanja wa JKIA ili kujua hali ya safari zao. Baadhi ya safari zimeahirishwa na wateja wengine kuhamishiwa ndege zingine, lakini wengine wao wamesubiri hadi saa 6 kuhudumiwa.
  8. Suley2019

    Man arrested with drugs at JKIA jailed for 20 years, fined Ksh.20 million

    A Nairobi court has slapped a German national with 20 years imprisonment and ordered him to pay Ksh. 20 million for drug trafficking. According to a report issued by the Director of Public Prosecutions (DPP) on Wednesday, the accused, Rommenswinkel Dieter appeared before a court at Jomo...
  9. Suley2019

    Kenya 2022 Three employees of company providing IEBC election technology arrested at JKIA

    Three employees of Smartmatic International B.V, the company procured by the electoral commission IEBC, to provide technology for the August 9th General Election were arrested on Thursday at Jomo Kenyatta International Airport. IEBC Chairman Wafula Chebukati confirmed the arrest which he termed...
  10. MK254

    JKIA treatment plant boosts farmers’ bid to access EU market

    Mango farmers eyeing to export their produce to Europe have been handed a fighting chance following the launch of a hot water treatment facility to curb the notorious pests that resulted in a ban. The facility, which is located at the Jomo Kenyatta International Airport, will be used by all...
  11. Mashashola

    JKIA, Moi (Mombasa) best Airports in Africa

    JKIA, Moi airport rank best in Africa on customer service ADONIJAH NDEGE Summary JKIA and MIA in Mombasa emerged top in the 2021 Best Airport by Size and Region in the 5-15 million passengers per year and under 2 million passengers per year categories respectively. ACI’s Airport...
  12. luangalila

    JKIA (KEN) get ready for ATCL

    Final our new bird will start flying to KEN from TZ.
  13. MK254

    JKIA, Moi Feted Among Best Airports Globally

    The Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) and Moi International Airport, Mombasa were feted in the third Airports Council International (ACI) Customer Experience Global Summit held in Canada on Thursday, September 9. JKIA won the 2020 Best Airport by Size and Region in the 5-15 million...
  14. Don YF

    Uhuru did not ink Sh16bn JKIA rail contract in Paris

    Safi sana!👍 Kibinafsi I didnt see the viability of this project anymore when expressway was initiated and is on steroids right now, running concurrently na rail! How was it going to get value for money in the near term basis? Wacha French waendelee na Mau Summit - Nakuru Highway, makes more...
  15. REJESHO HURU

    Taharuki gani imetokea uwanja wa ndege wa kimataifa JK?

    Nimepigiwa simi na dogo anatoka Gongo la Mboto kuja mbagala anasema uwanja wa ndege watu wanakimbia ovyo wengine wameanguka hajui Kuna nini mliopo karibu tujuzeni. === Kutoka Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (Terminal 2), Dar es salaam muda huu imetokea taharuki na Watu wote wakiwemo abiria...
  16. Kafrican

    Tazama JKIA Terminal 1B, 1C currently U/C

    Baada ya JKIA Terminal 1A kupanuliwa na kujengwa na technolojia ya kisasa, sasa wameamua kuvunja 1C na 1D na kuzijenga upya Terminal 1A ilishapanuliwa na kufanyiwa hivi Sasa huko kwa 1B na 1C ndo kulikua bado airport ya zamani Baada ya upanuzi hapo kati kati ambapo sahii hua ni parking...
  17. Tony254

    JKIA handled the highest cargo volumes in Africa in 2020

    Wenye wivu wajinyonge. JKIA handled highest cargo volumes in Africa in 2020 - report Overall passenger numbers are expected to reach 2.4 billion in 2021 In Summary The Kenyan airport handled more than 330,000 tonnes International cargo revenues are expected to reach $152 billion by VICTOR...
  18. Geza Ulole

    Apparent JKIA does not have traffic control system, aircraft rely on Kilimanjaro Airport's traffic control system!

    ECONOMY New Sh346 million air traffic control system to boost JKIA safety WEDNESDAY MARCH 10 2021 Terminal 1A at Jomo Kenyatta International Airport. FILE PHOTO | NMG The Kenya Civil Aviation Authority (KCAA) will install a new Sh346 million air traffic control system at the Jomo Kenyatta...
  19. T

    JKIA, Moi International Airport win best airports in Africa award

    https://aci.aero/customer-experience-asq/asq-awards-and-recognition/asq-awards/current-winner-2020/best-airport-by-size-and-region/ Jomo Kenyatta International Airport (JKIA), Nairobi and Moi International Airport (MIA), Mombasa have been recognized for excellence in customer service. Airports...
  20. MK254

    JKIA Beats International Airports in Customer Appraisals

    Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) has set standards for African countries having established screening and clearance technologies for travelers. Travelers will now take 15 minutes to be cleared following the adaptation of the Trusted Travel digital platform. This comes at a time when...
Back
Top Bottom