Habari zenu wana JamiiForums?
Leo nimekuja na hili suala ambalo nimejaribu kulitafutia uvumbuzi ila sijafanikiwa.
Jumamosi ya tarehe 13/05/2023, nikiwa ndani ya uwanja wa JK T2 jijini Dar es Salaam nilishuhudia mambo ambayo sikutegemea kama yanaweza kutokea hususani kwenye maeneo kama yale...