Vijana waliopata Mafunzo ya Kijeshi katika Kikosi cha Jeshi la kujenga taifa (843KJ) Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi wametakiwa kutumia vizuri matumizi ya Mitandao ya kijamii kwa faida yao na taifa kwa ujumla.
Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya Operesheni Okoa Nishati safi, Mgeni rasmi...