Julius Nyerere International Airport (IATA: DAR, ICAO: HTDA) is the international airport of Dar es Salaam, the largest city in Tanzania. It is located approximately 12 kilometres (7.5 mi) southwest of the city centre. The airport has flights to destinations in Africa, Asia, Europe, and the Middle East. It is named after Julius Nyerere, the nation's first president.
Hii ni Convoy ya Super Megarstar, Diamond Platnumz na Zuchu akitua Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, wakati wakielekea kwenye show kwa mashemeji zetu nchini Kenya.
Yawezekana au Nahisi huenda Mamlaka inayohusika na kupima Akili timamu ( Afya ya Akili ) za Mashabiki wa Vilabu barani Afrika kuna Klabu moja itajikuta / itakuwa ndiyo Kinara wa kuwa na Mashabiki si tu Washamba ( Madunduka ) bali kwa 98% wana matatizo ya Akili ( Psychopaths )
ANGALIZO
Nimesema...
Tanzania Airports Authority
Katika mitandao ya kijamii kunasambaa taarifa katika picha mjongeo kuhusu kukosekana kwa huduma yam aji katika maliwato iliyochapishwa tarehe 24 Julai, 2024 na abiria Dudubaya na Bushoke. Abiria hao walikuwa wanasafiri na ndege ya shirika la ndege ya Kenya Airways...
WAFANYAKAZI LSG SKY CHEFS WAANDAMANA HADI OFISI ZA TUCTA KUDAI HAKI ZAO
Mashirika ya Ndege zaidi ya ishirini yanayofanya safari zake ndani na nje ya nchi huenda huenda yakakosa huduma za vyakula na viburudishi safarini, baada ya wafanyakazi wa kampuni inayotoa huduma hiyo ya LSG Sky Chefs...
Ni zaidi ya wiki sasa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport air condition hazifanyi kazi, hasa kipindi hiki cha joto kali Dar es Salaam, hivi wahusika wanafikiria nini? Je, ni hujuma?
Mama Kizimkazi anajua? Na kama anajua amechukua hatua gani? Na kama hajui kwa...
1. Arrival lounge inajaa kupitiliza,
2. automated border control systems(gates) hazifanyi kazi,
3. Madirisha ya kugonga passport Machache kulinganisha na idadi ya watu wanaoshuka kwenye ndege.
4. Air Conditioner hazifanyi kazi.
6. Vyoo navyo mtihani.
Dar es Salaam. Makaburi zaidi ya 600 yaliyopo katika kata ya Kipunguni yanatarajiwa kuhamishwa ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA).
Mchakato wa kuhamisha makaburi hayo unafuatia mpango wa ulipaji fidia kwa wakazi 1,865 wa eneo hilo wanaotakiwa...
Abiria wanaosafiri kwenda nchi za nje kupitia Uwanja wa Ndege wa Entebbe nchini Uganda wamelalamika vitendo vya wafanyakazi wa Uhamiaji kuwalazimisha watoe hela (chochote kitu) pale wakiwa wanaelekea kupanda ndege hali inayosababisha wengine kuchelewa ndege na wengine kuchelewesha ndege kuanza...
Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo,Herzon Nonga akionesha Vifaranga vya kuku wa mayai vilivyozuiwa kuingia nchini,kutokuwa na vibali na cheti cha afya katika kago ya mizigo ya uwanja wa ndege wa Juliasi Nyerere,jijini Dar es Salaam jana.
Kukamatwa kwa vifaranga vilivyokuwa vikiingizwa nchini...
Licha ya Serikali kuagiza vifaranga vya kuku 62,730 wa mayai vilivyoingizwa nchini virudishwe Ubelgiji, inadaiwa hadi sasa bado havijaondolewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
Vifaranga hivyo vilivyoingizwa nchini Desemba 22 na kampuni ya Phoenix Farms Limited, vilizuiliwa...
Swali kwa mamlaka husika yenye kusimamia Termanal 3 ya Dar es Salaam, je ni kwanini ndege toka nje zimeshindwa kutua wala kuondoka karibu siku nzima ya jana na hata sasa?
Kuna tatizo gani ambalo halipo bayana kiasi cha wasafiri kujikuta wakipoteza muda wao hapo uwanjani na safari zao kuwa...
Uongozi wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) umetoa ufafanuzi wa changamoto iliyojitokeza katika mfumo wa maegesho ya magari katika jengo la tatu la abiria na kusababisha msongamano wa magari katika uwanja huo.
Kaimu Mkurugenzi wa JNIA, Mhandisi Rehema Myeye changamoto hiyo...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imemtaka Waziri Prof. Makame Mbarawa kueleza sababu za Serikali kuuacha Uwanja wa KIA kwa Kampuni ya Uendeshaji wa Kiwanja cha Ndege (KADCO) ambaya haipo.
Spika Dkt. Tulia amesema “Wanasema mkataba unamalizika Juni 2023 ni mkataba gani? wakati hiyo...
Uwanja ndege wa AAKIA mwaka 2021 ulipokea wageni wa kimataifa 732,000 ukifuatiwa na JNIA uliopokea wageni 604,000 wa kimataifa, ikiwa ni tofauti ya wageni 128,000.
Ripoti ya takwimu za kitaifa (Tanzania in figures 2021) inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), inaonyesha kuwa uwanja huo...
Habari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na ningependa kupark gari pale ili nikirudi niichukue.
Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali.
Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
airport
dada
diaspora
jnia
kaskazini
katiba
katiba mpya
kudai
kusoma
mabango
marekani
miwani
mpya
mtu
mwigulu
mwigulu nchemba
nchini
picha
tanzania
ubalozi
usa
waandamana
wabongo
watanzania
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 28 Februari, 2022.
Wanabodi (in Pascal Mayalla voice),
Nimepata safari ya haraka kwenda Nairobi ila passport yangu ni zile za zamani ambazo hazitumiki na siku-renew. Sasa naomba kwa mnaofahamu je ninaweza pata pass ya muda ya kusafiria? Na ninaipata wapi,ni palepale airport au immigration? Maana kwa muda uliobaki...
Leo tarehe 4Oktoba, 2021saa 11.15 Asubuhi nilisindikiza mtu Uwanjani anaenda Dodoma na Air Tanzania ya saa 12 Asubuhi. Watu walikuwa kwenye foleni ya kuingia, kuna Muhindi mmoja alivaa pensi na fulana nyekundu, mwenzie alishaingia yeye ni msindikizaji, nadhani kuna kitu alisahau kumwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.