Hakuna habari njema iliyokuwa inasubiriwa sana na mashabiki wa mnyama kama habari za THANK YOU YA PAR OMAR JOBE pamoja na THANK YOU YA BABACAR SAR.
Siku 183 zimetosha kabsa kwa Joeboy kuonesha ubora wake Msimbazi huku pia Babacar sarr yeye akihitaji miezi sita! Boss MO yupo kazini kwa hakika...