Katika miaka ya hivi karibuni, ugonjwa wa misplaced priorities umekuwa janga sugu miongoni mwa Watanzania. Tunaishi kama watu waliopoteza dira—tukisherehekea anasa na matumizi ya kipuuzi huku tukilia na kulalamika kuhusu ukosefu wa ajira, huduma mbovu za afya, na umaskini. Ni jambo la kushangaza...
Mimi Kama rais wa chama Cha ma jobless pro max, nime ona nitoe angalizo Kwa wanachama wote walio ma jobless.
lengo la kutoa angalizo ni kueleweshana mambo kadhaa, ili tuweze kujua ni mambo gani ya kuzingatia wakati huu.
01, Serikali haiwezi kuajiri watu wote, enyi ma jobless huu ndio ukweli...
Kijana mimi leo nakupa connection hii hakuna mtu jf hapa ata kuja kukupa hii conenction kabisa nakwambia acha ubishoo tafuta chako si vyema kujiita jobless vyeti weka pembeni fanya hii kitu
Mahitaji karanga, mayai,siagi/blueband,sukari na chumvi
Kwanza changanya blueband na sukari
Kisha...
Uzi huu ni kwa ajili ya kuwapa mbinu vijana wa chama Cha ma jobless pro max.
Ili waweza kujua na kuelewa namna bora ya kuishi na kuwa salama, ndani ya jamii yenye mchanganyiko wa watu mbali mbali.
vijana nawapa onyo ukiwa jobless usi pende kupigana, maana kufanya hivyo ni kuweka maisha yako...
Umoja huu ni kwa ajili ya ma jobless pro max wote.bila ya kujali umri, jinsia au hata uzoefu.
Lengo ni kumpa nguvu jobless, kumpa moyo na hata ushauri juu ya yale anayo yapitia.
amini usi amini, Kuna vyama vya kutetea na kusikiliza kero na matatizo ya familia, wafanya kazi, Wana michezo.
ila...
Kila kundi la vijana wa vijiweni lina historia yake, historia inayogusa nyoyo, inayosimulia simulizi za huzuni, kukataliwa, na kusahaulika. Wanapokaa chini ya kivuli cha mti mchache wa mji, wakipiga gumzo au kushiriki michezo ya bahati nasibu, wanatoa picha ya taifa ambalo limewaacha wakiwa...
Katika miaka ya hivi karibuni, ugonjwa wa "misplaced priorities" umekuwa tatizo sugu miongoni mwa Watanzania. Kwa lugha nyepesi, tunaweza kusema kuwa vipaumbele vya jamii yetu vimepotoka, mara nyingi vikiegemea kwenye matumizi yasiyo ya lazima badala ya kushughulikia changamoto za msingi. Mfano...
Habari wakuu.
iKiwa juma tatu tulivu na yenye majonzi kwa ndugu zetu watanzania waliopata maafa ya kuangukiwa na kifusi, Mungu azidi kutia wepesi katika ukozi wa ndugu zetu waliopo chini ya kifusi
NImefunguu uzi huu ikiwa ni moja kwa moja katika jitihada za kupeana michongo kwa vijana,wafanya...
Habari Tanzania,
Mnaonaje Graduates wote wa Bongo mtengeneze paredi la uhakika kila baada ya miezi 6 mnakutana sehemu iwe town kati kila mkoa mkijipa pole kwa ukosefu wa ajira na kupongezana kwa kuwa wahitimu wa taifa la Tanzania.
Mnaweka mualiko kwa taasisi mbalimbali kuja kuwaona na kufanya...
Kwa kweli niseme tu asante, nishukuru kwa kila jambo kama Biblia ilivyotuamuru.
Nilihitimu Elimu yangu ya ngazi ya juu mwaka 2015 Katika Shahada ya Logistics and Transport Management, mpaka leo nasugua benchi tu😭
Mama Samia na serikali yako mbarikiwe sana kwa hili.
Tupo wengi sana tunaosota...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.