jobo

Spondias mombin, also known as yellow mombin or hog plum is a species of tree and flowering plant in the family Anacardiaceae. It is native to the tropical Americas, including the West Indies. The tree was introduced by the Portuguese in South Asia in the beginning of the 17th century. It has been naturalized in parts of Africa, India, Nepal, Bangladesh, Sri Lanka, The Bahamas, Indonesia, and other Caribbean islands. It is rarely cultivated except in parts of the Brazilian Northeast.
The mature fruit has a leathery skin and a thin layer of pulp. The seed has an oil content of 31.5%.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Upepo uliovuma Kunduchi mida ya saa 10 wengi walihisi ni kimbunga Jobo!

    Ilikuwa hatari mida ya saa 10 ukanda wa Kunduchi, Ununio hadi Mbweni upepo mkali ulivuma na pale kwa kondo kuna kijumba kimeezuliwa bati zote. Wakazi wa maeneo hayo walidhani kimbunga Jobo kimeibuka ghafla. Ramadhan kareem!
  2. Geza Ulole

    Cyclone Jobo becomes Kenyan affair after weakening

    MY TAKE Mazee these people r hypocrites...the whole week was full of celebration news that Dar n southern Tanzania coastline is going to be hit only to change into Tanzanian and Kenyan affair after seeing the disaster is no more!
  3. jitombashisho

    Kwa hali ya Corona na kimbunga Jobo, nimeamini Tanzania inalindwa na Mungu

    Hivi mimi ni nani hadi nisishuhudie maajabu ya Mungu kwa Nchi yetu! Kwa sisi tunaosafiri hasa Nchi za wenzetu kwa namna wanavyohangaishwa na Corona na ukiringanisha na namna tunavyoishi hapa kwetu Tanzania hakika mapenzi ya Mungu kwa Nchi yetu ni mema sana. Hilo la kimbuga Jobo pia kutokuleta...
  4. S

    Kimbunga JOBO kimepita, lakini je, serikali na wananchi tunajiandae kwa vimbunga vijavyo?

    Historia inatuonyesha mara ya mwisho kimbunga kilichowahi kuikumba nchi yetu kilitokea mwaka 1952(miaka 69 iliyopita).Hii maana yake vimbunga kama hivi bado vinaweza kuja kutukumba tena huko mbeleni. Vimbunga vinavyoendelea kutokea miaka hii ya karibuni kikiwemo hiki cha JOBO kilichotokea siku...
  5. TheDreamer Thebeliever

    Nimeanza kupata wasiwasi na TMA tangu waanze na tamthilia ya JOBO

    Hanari wadau..! Binafsi nimeanza kupata wasiwasi na TMA juu ya ufanisi wao tangu tamthilia ya kimbunga JOBO ianze.😂😂😂😂😂
  6. J

    Je, hapo ulipo kuna dalili zozote za kimbunga Jobo!

    Nipo Pwani ya Kawe na hali ni tulivu kabisa wanajamii wakiendelea na mishe zao. Tupe taarifa hapo ulipo kama kuna dalili zozote za Jobo kuibuka. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee!
  7. Behaviourist

    Hatimae kimbunga JOBO chaisha nguvu kabisa

    The good news ni kwamba kimbunga JOBO kimeisha nguvu kabisa.Picha ya kwanza ni ya jana Ijumaa saa nne asubuhi kama unavyoona kwenye picha za satellite hapo kimbunga kilikuwa na nguvu sana na picha ya pili ni ya leo Jumamosi saa tisa ya usiku na kama unavyoona kimbunga kilipungua nguvu kidogo...
  8. Nyankurungu2020

    Taarifa huishwa kuhusu kimbunga Jobo

  9. jitombashisho

    Asante sana awamu ya 5 kwa juhudi zenu za utunzaji mazingira hali inayopelekea kimbuga Jobo kishindwe

    Kupitia awamu ya tano ya uongozi wa kisiasa wa Hayati JPM Nchi ilishuhudia madhara madogo sana yaliyoletelezwa na Corona jambo ambalo hata kwa hatari tuliyoitarajia ya kimbuga Jobo huenda nayo isiwe na madhara tarajiwa. Ikumbukwe kutokea tarehe 21 mwezi huu wa 4 nchi kupitia vyombo vya utabiri...
  10. U

    UPDATES: Kimbunga JOBO hakipo

    Kimbunga Jobo chawa dhaifu baada ya kukaribia kuingia Tanzania Madhara ya kimbunga hicho sasa kupungua hivyo tuendelee kuchukua tahadhari Mungu ni Mungu Aksanteni kwa Maombi yenu Watanzania TMA UPDATES
  11. jitombashisho

    Kimbuga jobo hukujipanga na sidhani kama shughuli zako utazifanya vyema hapo Tz.

    Ndugu yangu jobo kwanza salamu! Pili napenda kukupa pole hasa kwa kuchagua siku isiyo rafiki kwa kufanya shughuli zako hapo Tanzania. ...aliyekudanganya uje kufanya shughuli zako siku ya Jumapili hakukujuza kwamba Tanzania kuna manabii na mitume wasiyo na idadi na kwalo siku hiyo ndiyo wao...
  12. FRANCIS DA DON

    Kimbunga Katrina kilikuwa na speed ya 174MPH, Kimbunga Jobo kitapiga kwa speed ya 30MPH, je , kuna haja ya kupoteza muda kukijadili?

    Ni ukosefu wa kazi za kufanya au ni nini? Picha ni kama zinavyojieleza hapo chini.. Update: https://www.jamiiforums.com/threads/updates-kimbunga-jobo-chafikia-kilometa-76-mashariki-mwa-mafia-chasafiri-kwa-kilometa-20-kwa-saa.1863353/...
  13. Mtemi mpambalioto

    Kimbunga JOBO: Uzi maalum kupeana Updates za kimbunga hiki

    Tumeambiwa kimbunga hiki hakijatokea eneo la ukanda wa Afica mashariki kwa takribani miaka 70. Hapa ni sehemu maalum kuhabarishana yanayojiri hasa mliopo fukwe huko. Tukumbushane pia tahadhari za kuchukua maana siku yenyewe ni leo na kesho tu kwa mujibu wa mamlaka za hali ya hewa.
  14. Analogia Malenga

    Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

    Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi. Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
  15. Stroke

    Kwa kelele hizi za Mbwa nadhani Jobo haipo mbali sana

    Wakuu, Naona mbwa wako very uneasy wanabweka sana. Kwa hulka yao ya kuhisi hatari ikiwa mbali, nadhani Jobo itapita , ni swala la kumuomba Mungu haya yasitokee.
  16. Mkogoti

    Ubalozi Marekani watahadharisha raia wake nchini Tanzania kuhusu kimbunga Jobo

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam umetoa tahadhari ya kiusalama kwa wafanyikazi wake walioko nchini Tanzania kuhusu hatari ya Kimbunga Jobo kinachoeleka katika pwani ya nchi hiyo na kitaufikia pia mji wa Dar es Salaam. Kupitia tahadhari kwa wafanyikazi wa ubalozi wake , afisa...
  17. I

    Tahadhari: Kimbunga hiki/upepo mkali ukiambatana na mvua kubwa huenda vikatokea pwani ya Tanzania

    Kimbunga hiki/upepo mkali ukiambatana na mvua kubwa huenda vikatokea pwani yetu hususan miji ya Lindi,Mtwara,Dar es salaam,Unguja,Mombasa,Malindi Chanzo kinasema upepo huo unatarajiwa kati ya tarehe 21/4/2021 na 26/4/2021. Hivyo tuchukue tahadhari na bahari kwa siku hizi,na kufuatilia utabiri...
  18. Analogia Malenga

    Kimbunga cha JOBO chazidi kuikaribia Lindi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “Jobo” kilichopo bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar. Kimbunga Jobo kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea maeneo ya nchi yetu ambapo leo usiku wa kuamkia tarehe 23/4/2021 kimbunga hiki...
  19. Analogia Malenga

    Lindi na Mtwara zatahadharishwa kimbunga cha Jobo

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA) imetahadharisha mikoa ya mwambao wa Bahari ya Hindi hasa mikoa ya Lindi na Mtwara kuhusu kimbunga cha Jobo ambacho kipo kaskazini mwa Madagascar Kimbunga kitasababisha ongezeko la upepo na mawimbi katika bahari ya Hindi. TMA wanaendelea kufuatilia kuangalia...
Back
Top Bottom