Rais wa Marekani, Joe Biden (81) yuko karantini kwa muda baada ya kupimwa na kugundulika kuwa na ugonjwa wa UVIKO-19, kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu ya Marekani, White House.
Ugonjwa huo unakuja wakati ambao Biden anakabiliwa na shinikizo kubwa la kujiondoa kwenye kinyang'anyiro cha urais...