Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa.
Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee...