John Amos, aliyekuwa nyota wa filamu nchini Marekani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84.
Amos ameaga dunia tarehe 21 Agosti huko Los Angeles. Msemaji wa Amos, Belinda Foster, amethibitisha habari za kifo chake jana Jumanne, Oktoba 1, 2024.
John Amos alikuwa mwigizaji maarufu wa...