john bayo

  1. Melubo Letema

    Hatimaye Makamu Rais wa Shirikisho la Riadha John Bayo ajiuzulu

    Hatimaye Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) John Bayo Ajiuzulu. John Bayo amejiuzulu baada ya kusakamwa na Sakata la Vyeti Feki, ingawa yeye amedai amejiuzulu ili awe busy na familia na biashara zake. Rais wa RT, Silas Isangi amekiri kupokea barua ya kujiuzulu kwa...
  2. Melubo Letema

    John Bayo haogopi Baraza la Michezo Tanzania na Wizara inamlinda

    Mapema mwaka huu wakati wa Tulia Marathon, John Bayo alialika raia wa Kenya kinyume cha utaratibu kwa kuandika barua kwenda Athletics Kenya aki-forge sahihi ya aliekua Kaimu Katibu Mkuu wa RT Bi Ombeni Zavala. Baadae Bi Zavala aliikana barua hiyo na kusema kua ni Makamu wa Rais wa RT John Bayo...
  3. Melubo Letema

    Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), John Bayo aiponda Katiba ya Baraza la Michezo Tanzania (BMT)

    WAKATI sakata la sifa za kielimu la Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), John Bayo likizidi kuchukua hatua tofauti, shirikisho limedai linatarajia kufanya mabadiliko ya katiba yake. RT ilifanya uchaguzi wake mapema mwaka huu, baada ya kufanyika kwa mabadiliko ya katiba, ambapo...
Back
Top Bottom