Mcheza mieleka na mwigizaji maarufu kutoka Marekani John Cena, ametangaza kustaafu kushiriki katika Mashindano ya Mieleka (WWE) wakati wa hafla ya WWE Money in the Bank iliyofanyika Canada tarehe Julai 6, 2024.
John Cenna amesema atashiriki mashindano yake ya mwisho yatakuwa mwaka 2025 kama...
Tanzania ya baadaye inaangazia mwelekeo wa uchumi endelevu unaoweka msisitizo mkubwa katika kuleta fursa za ajira na ujasiriamali kwa vijana. Kupitia mipango ya kibunifu na utekelezaji wa sera makini, tunalenga kujenga uchumi imara ambao unawanufaisha wananchi wote, hususan vijana. Hapa ni maono...
John Cena went live on stage at the Oscars naked. This is symbolism at it's peak, the emasculation of men. They take masculine figures in society and humiliate them, from wearing dress to walking nude
Imagine all the little children who look up to him, particularly little boys, watching him...
MICHEZO: Kampuni inayojihusisha na michezo ya mieleka duniani maarufu kama "WWE" World Wrestling Entertainment ina mpango wa kuandaa pambano kati ya nyota wa klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo dhidi ya nguli wa mchezo huo wa mieleka John Cena kama sehemu ya uzinduzi wa mashindano ya mieleka...
Juzi kati episodes tatu za series ya Peacemaker zimetoka. Nimeikubali sana, bila shaka itakuwa series bora sana. Na ina soundtracks za ukweli. Unaipa ngapi?
Mwaka huu nimemuona John Cena kwenye movie mbili. Suicide Squad na vacation friend. Amejitahidi sana bado japo kufikia level za kina The Rock.
Nadhani mchezo wa mieleka unawandaa vema sana hawa jamaa kuea waigizaji. Ni kama training hivi. Maana mtu kama The Rock ni muigizaji mwenye uwezo...
Leo mitandao ya Facebook, Instagram, Twitter, na YouTube imechafuliwa na Media ndogo na kubwa hii yote kuzungumzia Msanii Maarufu zaidi hapa Duniani Rihanna kumufuata Mwanamitindo Mbongo na Mzaliwa wa Shinyanga Flaviana matata. Leo Rihanna katika mtandao wa Instagram amemfollow Flavianamatata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.