john cheyo

John Momose Cheyo is a Tanzanian UDP politician and Member of Parliament for Bariadi East constituency since 2005.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Mbowe na chama chake anaelekea kuingia kwenye kundi la John Cheyo Mrema Lipumba ameamua kuzama na Jahazi

    Kuna haja Gani ya kungangania madaraka Kama umejenga chama na Mifumo imara kwa miaka 20 Nilifikiri angegombea Uraisi lakini pia hafai kabisa , Kama mkiti wa chama ameshindwa kujenga Mifumo ni nchi iliyojaa rasilimali Kibao Aibu kwa watu tuliowaona wangemshauri wamekuwa machawa
  2. L

    John Cheyo: Maandamano hayatufikishi popote

    Ndugu zangu Watanzania, Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
  3. Pre GE2025 Chama cha UDP kimemchagua John Cheyo kuwa Mwenyekiti kwa awamu nyingine

    Habari wakuu Nilikuwa naangalia habari hapa nimeona taarifa ya John Momose Cheyo kuchaguliwa na wajumbe wa chama chake kuwa Mwenyekiti kwa kipindi kingine cha miaka mitano Wajumbe wametoa maoni kwamba bado mwenyekiti wao anafaa na ana maono ya kukisaidia chama, ingawa kidogo kwa namna...
  4. M

    Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

    Kwa hali inavyoendelea nchini ni dhahiri hakuna tena upinzani. Bali kuna uungwaji mkono juhudi unaofanywa na wapinzani kwa CCM ila kila mmoja kwa staili yake. ACT Wazalendo wanakula pamoja na CCM kule Zanzibar na CHADEMA nao wanatafuta robo mkate wao huku Tanganyika. Kabla CHadema hawajaanza...
  5. Ni lini John Cheyo na Prof. Lipumba watafanya mikutano ya hadhara?

    Imebidi niulize ili labda kama kuna anayejua ratiba ya Mikutano ya hadhara ya Wanasiasa hawa na vyama vyao atueleze. Mchumi Lipumba na Bwana Mapesa ni wanasiasa wakongwe mno, bila shaka wataitumia fursa hii ya mikutano ya hadhara ili kuimarisha vyama vyao.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…