Rais mpya wa Marekani, Donald Trump anapanga kuagiza idara za usalama za Marekani kuweka wazi taarifa zote za siri (Classified Documents) kuhusiana na mauaji ya JFK na RFK yawekwe wazi kwa umma ili umma uweze kujua nini hasa kilijiri.
Ni takribani miongo sita imepita tangu ndugu hao wauwawe...
Ni hivi, watu hawa wawili ni miongoni mwa viongozi maarufu zaidi katika orodha ya Marais wa Marekani. Abraham Lincoln na John F. Kennedy kila mmoja aliongoza Marekani na kupitia baadhi ya misukosuko mikubwa katika historia za uongozi wao. Mauaji yao yalitikisa siyo tu Marekani, bali dunia mzima...
Kuna wanawake walikuwa na nguvu bwana.
Achana na akina Wema Sepetu.
Achana na akina Mobeto.
Yaani hawa walikuwa wanamuamrisha rais nini cha kufanya.
Unajua CIA walikuwa makini sana kwenye hili, waliona huyu mwanamke anaweza kuleta songombino, wakaamua kumkausha.
Hebu subiri. Msije kusema...
Ntajikita kwanza kwenye case study ya Mfanano wa kimaisha wa Marais wawili wa marekani walioachana zaidi ya miaka 100,
Ambao una pure surreal Experience na utakuacha mdomo wazi....
Marais hao ni Kati ya Abraham Lincoln (Rais wa 16 wa Marekani) na John fred Kennedy (Rais wa 35 w Marekani)...
Basi tu, tuseme hii dunia kuna watu wanapanga mipango yao lakini kuna watu pia wanapangua mipango hiyo yote na kufanya mambo yao.
Kuna mambo huwa hutakiwi kuyaingilia hata kidogo. Hata kama utakuwa rais, kuna system huwa unaikuta, unatakiwa kuiacha kama ilivyo kwa kuwa ni maslahi ya watu...
Sehemu ya Kwanza.
John Fitzgerald Kennedy, aliyekuwa maarufu kama JFK au Bobby, alikuwa mwanasiasa wa Marekani aliyehudumu kama rais wa 35 wa USA kutoka mwaka 1961 hadi alipouawa mwishoni mwa mwaka wake wa tatu katika ofisi hiyo.
Aliuawa huko Dallas, Texas, US na kifo hicho kilitangazwa rasmi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.