John Heche mgombea wa nafasi ya Makamo Mwenyekiti Chadema anadaiwa kuvunja kanuni za uchaguzi ndani ya chama hicho.
Akitangaza kugombea nafasi hiyo tarehe 5/1/25 John Heche akiwa na walioitwa wafuasi wake alijitangaza yeye ni mgombea Mwenza wa Tundu Lissu na kuwataka wanachama wawachague wao...