john heche tarime

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Heche: Wasira ana haki ya kusinzia, tusimlaumu. Asema CCM inarejesha Viongozi waliochoka

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira ana haki ya kusinziaa kutokana na umri wake mkubwa na kuwataka wananchi wasipoteze muda kumjadili. Akizungumza katika...
  2. Erythrocyte

    Pre GE2025 John Heche aiteketeza CCM Tarime, Wapoteana hawajui wajifiche wapi

    Hivi ndivyo unavyopaswa kufahamu ili usipitwe na wakati, hakuna tena ccm Tarime, hii ni baada ya John Heche kuiteketeza kabisa, Wamebaki Polisi tu. Naomba nifupishe mada, Maana kwa sheria za dini ni dhambi sana kumjadili Marehemu. Ushahidi huu hapa, Hiki ni kijiji cha Borega, Kata ya Ganyage...
Back
Top Bottom