Baraza la Machifu na Wazee wa Kimila Mkoa wa Ruvuma limekanusha kumtambua John Heche kama Chifu wa Wangoni, likidai kuwa tukio la kuvikwa uchifu Juni 20, 2026 halikufuata taratibu za mila na desturi za kabila hilo.
Machifu hao wamesema aliyemvika Heche mavazi ya uchifu hana mamlaka ya kufanya...