John Mhagama (42) mkazi wa mtaa wa kanisa B, wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe amejiua kwa kunywa sumu baada ya kufumaniwa na mke wake akiwa kwenye mazungumzo ya kimapenzi na binti wa kidato cha kwanza anayeishi nyumba jirani na yao.
Imeelezwa kuwa marehemu alikuwa na tabia ya kwenda kununua mkaa...