john mnyika

  1. Mindyou

    Pre GE2025 John Mnyika: Siku kama ya leo BAWACHA mlimpa Rais tuzo. Mwanamke mliyemuamini alikuwa mnafiki. Anastahili kuvuliwa ile tuzo!

    Wakuu, Baada ya kuchoma vitenge vya Rais Samia, siku ya leo Mnyika amesema wazi kuwa BAWACHA wanatakiwa kuirudisha rasmi ile tuzo ambayo BAWACHA walimpa Rais Samia. Mnyika kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake amesema kuwa BAWACHA wanatakiwa kumvua ile tuzo ambayo walimpa Rais Samia mwaka...
  2. M

    Hii CHADEMA ya Dkt Slaa pale, huku Tundu Lissu kule Freeman Mbowe pale John Heche na John Mnyika katikati Godbless Lemma CCM kwisha kabisa

    Kama Kuna mziki CCM itapitia tangu kuanza kwa vyama vingi basi ni huu wa CHADEMA ya sasa. Najaribu kufikiria kama watakuwa na chopa tatu na wakawa na root tatu zitakazoongozwa na Dkt Slaa, Lissu, Mbowe na Heche naamini hii No reform No Election itakuwa ni kama kusukuma mlevi.
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 John Mnyika adai kuna hujuma za kuyumbisha harakati za 'No Reforms No Election' kufuatia pingamizi la uteuzi wa vigogo nane CHADEMA

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika, amedai kuwa kuna juhudi za kuhamisha mwelekeo kutoka kwenye kampeni ya 'No Reforms, No Election'. Kupitia ujumbe wake kwenye mtandao wa X, Mnyika amesisitiza kuwa maamuzi ya Baraza Kuu la CHADEMA yaliyofanyika tarehe 22 Januari 2025 ni halali, kwani yalihusisha...
  4. M

    Pre GE2025 Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama

    Katika kile kinachoonekana kuendelea kwa mivutano ya makundi ndani ya Chadema, kada mmoja wa chama hicho, amepinga uteuzi wa viongozi watendaji wa juu wa sekretarieti na wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho uliofanywa na Mwenyekiti Tundu Lissu Januari 22, 2025, akidai umekiuka katiba ya chama...
  5. Papaa Mobimba

    Pre GE2025 John Mnyika: Duniani Wanahabari wanahimizwa kufanya wajibu wao hata kwenye viti, Tanzania wakazuiliwa mkutano wa CHADEMA

    "Juzi (Jumatatu Januari 27, 2025) ilikuwa nizungumze kama mtendaji mkuu nieleze katika kuingia huku upya katika uongozi kama Katibu Mkuu ni mambo gani ningeyapa kipaumbele kama Katibu Mkuu lakini vilevile ilikuwa niwatangazie watanzania juu ya ujio wa Mwenyekiti, sasa watawala wakaingiwa hofu...
  6. J

    Kwa sababu za kiusalama siyo Sahihi Mnyika wa CHADEMA kufanya Press Kesho wakati Nchi ina ugeni mkubwa wa Marais wa Africa. Wageni Wanaweza kuogopa!

    Nashauri Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Jaji Mutungi kumzuia katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika Kufanya mkutano wa waandishi wa Habari Kesho Press ya Chadema ifanyike baada ya wageni kuondoka Ikumbukwe Chadema ni Chama kikuu Cha upinzani na haijulikani Kesho wamepanga kuongea nini hali inayoweza...
  7. Waufukweni

    Pre GE2025 Lissu asifu uadilifu wa John Mnyika, namna alivyoendesha Uchaguzi na kumteua tena kama Katibu Mkuu CHADEMA

    Mwenyekiti mteule wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameeleza uadilifu wa John Mnyika na namna ambavyo aliendesha Uchaguzi wa ndani ya Chama. Soma, Pia: Tundu Lissu amteua John Mnyika kuwa Katibu Mkuu. Ateua Manaibu Katibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati Kuu
  8. M

    Pre GE2025 Tundu Lissu amteua John Mnyika kuwa Katibu Mkuu. Ateua Manaibu Katibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati Kuu

    Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Chama ambalo limekutana leo Jumatano, Januari 22, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ameanza kupanga safu yake ya uongozi kwa Kuteua Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Wakuu pamoja na wajumbe wa Kamati...
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika amempongeza Freeman Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA
  10. R

    Salamu za Pongezi kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

    Mwenyenzi Mungu azidi kukupa maisha marefu na uvumilivu katika siasa na maisha binafsi. Ni vigumu kwako kutambua ukubwa wa kazi uliyofanya lakini naomba kukujulisha kwamba umefanya kazi kwa moyo, utu na umeliweka Taifa mbele. Usitetereke lakini pia usijiinue bali subiri wakuinue. Hongera sana...
  11. Bams

    Pre GE2025 Sekretarieti ya Mnyika yakata Majina ya Wagombea 'Wanaoonekana kuwa Kambi ya Lissu'

    Siku zote CHADEMA na vyama vingine vya upinzani, vimekuwa vikilalamikia mambo ya hovyo ya kukata majina ya wagombea wa upinzani wanaoonekana kuwa tishio dhidi ya wagombea wa CCM kwenye chaguzi mbalimbali. Hayo yamefanyika sana hata kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka jana, na CHADEMA...
  12. R

    John Mnyika ni moja wa Makatibu wakuu bora wa vyama vya siasa Afrika

    Chadema moja ya kiongozi waliyofanikiwa kupata ni pamoja na katibu Mkuu. Alipoondoka Dr. Slaa watu walihoji kama Mrithi wake anaweza akavaa viatu vyake. Nimeona namna alivyosimama neutral kwenye uchaguzi na jinsi anavyoratibu uchaguzi bila kusahau anavyoweza kujibu hoja zinazoelezwa ofisini...
  13. Msanii

    Tuhuma alizozitoa Wenje na majibu aliyoyatoa K/Mkuu John Mnyika, kwa nini Wenje bado ni mwanachama wa CHADEMA?

    Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA. Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul...
  14. L

    John Mnyika amaliza utata pesa za Join the Chain. Ataja kiasi kilichopatikana na kazi zilizofanya. Asema wajumbe wote wa kamati kuu walikuwa wanajua

    Ndugu zangu Watanzania, Siweki neno lolote lile zaidi ya kuweka taarifa ya John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.👎 #JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na CHADEMA kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022. Kwa wakati huo kipaumbele cha...
  15. J

    Mnyika: Wajumbe watakaopiga kura kwenye Mkutano Mkuu ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi, wa 2019 siyo halali

    Katibu mkuu wa CHADEMA mh John Mnyika anesema Wajumbe halali watakaopiga Kura Kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa Taifa na makamu wake ni wale waliochaguliwa kipindi hiki cha Uchaguzi kabla ya huo mkutano mkuu wa 21 January Mfano mkoa wa Njombe haujafanya Uchaguzi wa mkoa hivyo Wajumbe wa 2019...
  16. mshale21

    Mnyika: Kumejitokeza vitendo vinavyoashiria kuvunjwa kwa miongozo na baadhi ya wanachama (wa CHADEMA)

    Narudia kwa mkazo wakati natoa wito kwa wagombea, wanachama na mawakala wa wagombea kuzingatia katiba kanuni maadili na itifaki ya chama katika mchakato mzima wa uchaguzi.” “Hata hivyo katika kipindi hiki cha uchukuaji na urudishaji fomu kumejitokeza vitendo ambavyo vinaashiria kuvunjwa kwa...
  17. K

    Kijana John Mnyika apongezwe kwa uzalendo wake!

    Katrika watu kwenye nchi hii ambao wanahitaji pongezi ni John Mnyika. Hana skendo ya rushwa na kila kwenye mijadala mikubwa ya Chadema anakuwepo. Endapo Mbowe akishidwa mtu ambaye anaweza kuhakikisha hakuna hujuma kwenye Chama kwasababu ya ego za watu wa Mbowe ni John Mnyika. Huyu ni mtu...
  18. Cannabis

    Baada ya Lissu, Mbowe, Wenje na Heche sasa ni zamu ya John Mnyika kuunguruma

    Katibu mkuu wa CHADEMA anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kesho 07/01/2025 saa tano asubuhi katika makao makuu ya chama hicho.
  19. Z

    John Mnyika, Kigaiya na Lema mko wapi, chama kina pasuka vipande?

    Katibu Mkuu John Mnyika, Kigaiya, Lema na Mrema mko wapi chama kinapasuka. Mnawaangalia Viongozi waandamizi wakiumbuana hadharani!!!! Mnyika umekaa kimya!!kulikoni? Au ndio tunagawana mbao? Tunajua mwenyekiti kafeli, mwambieni ukweli, aache kukipasua chama.
  20. Erythrocyte

    Pre GE2025 Njama: Inadaiwa 'Mfumo' unapanga kuvuruga Uchaguzi wa CHADEMA ili ionekane chama hicho hakina Amani

    Wasamalia wema wamevujisha Taarifa hii kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Kwamba Watu wa Mfumo wametumwa kuvuruga Uchaguzi wa Chadema kwa faida ya Mamluki anayewatuma Taarifa kamili hii hapa Nimepata taarifa kuwa mfumo unapanga kufanya vurugu kwenye matukio ya Chama au wanachama wakati huu wa...
Back
Top Bottom