Anauliza Zitto Kabwe: Kwanini sio John Mwakangale International Airport?
===
My Take
Naunga mkono hoja.Jina la Uwanja wa Ndege wa Songwe (Mbeya) libadilishwe sio tuu Kwa sababu za Kuenzi Mchango wa mzalendo huyo Bali pia kuondoa mkanganyiko wa kutumia jina la Mkoa tofauti na uwanja uliko...