Mwezi Januari 2023, mwandishi wa habari wa Rwanda John Williams Ntwali aliuawa katika ajali ya barabarani. Ripoti zake zisizokoma kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu, mateso ya kisiasa, na ukandamizaji wa vyombo vya habari zilimfanya awe kupata uhasama kutoka kwa wenye mamlaka, jambo...