john okello

John Gideon Okello (1937 – 1971) was a Ugandan revolutionary and the leader of the Zanzibar Revolution in 1964. This revolution overthrew Sultan Jamshid bin Abdullah and led to the proclamation of Zanzibar as a republic.

View More On Wikipedia.org
  1. Minjingu Jingu

    John Okello (Baba wa Taifa la Zanzibar) angekutanishwa na Sultan Jamshid

    Nlisoma humu uzi kuwa baba wa Taifa la Zanzibar ni John Okello (RIP) Huyu ni Che Guevara wa East Africa. Mwanamapinduzi na mpigania Uhuru. Huyu alitoka kwao Uganda kuja kuwakomboa Wazanzibar. Alikuwa na moyo wa kipekee sana. Dunia haipaswi msahau. Napendekeza kama ana ndugu zake anapokuja...
  2. Technophilic Pool

    Jeshi la John Okello Israel ya Africa Mashariki liliwatindua vibaya sana Waarabu!

    Kwanini hakuna sanamu ya huyu mwamba wa kiafrica aliyetengeneza Jeshi la Kiafrica lililokua na ufanisi dhidi ya waarabu kama vile IDF ya israel. Mwamba toka Uganda alikuja Zanzibar akaona waswahili wamebong’aa kutawaza wazungu ndipo akaamua kuunda jeshi la Kibantu ambaro lilikua muarobaini wa...
  3. Mohamed Said

    "Karibu Karibu Ndugu Jela ni ya Wanaume," Field Marshal John Okello Anamkaribisha Abdilatif Abdulla Kamiti Prison

    Nimekuwa na Abdilatif Abdulla London, Berlin, Humburg, Mombasa na Dar-es-Salaam lakini Dar-es-Salaam mara nyingi kuliko huko kote kwengine. Nimekaa nyumbani kwake Humburg. Kote tunapokuwa pamoja mazungumzo yetu ni vitabu na uandishi. Siku zote sijasahau kumkumbusha kuhusu kuandika kitabu cha...
  4. Mpigania uhuru wa pili

    John Okello anatufundisha unaweza toka mazingira ya kimaskini sana na ukafanya makubwa

    Ukisoma historia ya john okello ni mtu aliyezaliwa mazingira ya kimaskin kama ilivyo kwa jamii nyingi za ki-afrika za kipindi kile wapigania uhuru wengi wa kiafrika kama nyerere, jomo kenyatta n.k walisoma mpaka ulaya kwa maana nyingine walipata exposure kubwa sana kabla hawajaanza kufanya...
  5. Wakili wa shetani

    Serikali ya Zanzibar haioni kwamba inawajibika kuwafanyia kitu watu wa Field Marshall John Okello?

    Mapinduzi ya Zanzibar yaliendeshwa na bwana John Okello. Hili halina ubishi. Mapinduzi yalianza saa tisa za usiku yakiongozwa na Okello na watu mia kadhaa wakiwa na silaha za jadi. Walivamia vituo vya polisi na huko ndiko walikopata bunduki. Kufika saa moja asubuhi Okello akatangaza redioni...
  6. Mohamed Said

    Kisa cha Al Habib Umar bin Sumeyt na ''Field Marshal John Okello''

    Siku chache zilizopita niliandika hapa kuhusu John Okello na pia nikaweka na video inayoeleza safari ya Okello Pemba mwezi Machi 1964 baada ya mapinduzi. Sharif Mohamed Yahya kutoka Tanga kaniandikia hayo maneno hapo chini na kaandika kwa herufi kubwa tupu. Nami nabakisha hivyo hivyo herufi...
  7. Mohamed Said

    Kutoka Pemba: Sura Isiyofahamika ya John Okello

    KUTOKA PEMBA: SURA USIYOIJUA YA ‘’FIELD MARSHAL’’ JOHN OKELLO Historia ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964 haiwezi kukamilika bila ya kumtaja John Okello. Ukweli ni kuwa historia ya mapinduzi ipo na kwa miaka mingi imekuwa ikizungumzwa bila ya kutajwa John Okello. Lakini wako wengi...
  8. Kamanda Asiyechoka

    Zama za akina John Okello zimerudi Afrika. Kila taifa linahofia Mapinduzi. Ufisadi ndio kichocheo cha Mapinduzi

    Naona ile miaka ya akina John Okello imerudi Afrika Hofu ya akina John Okello imetanda kila kona Huko kenya kuna hofu kubwa imetanda. Hapa bongo leo imetoka kauli tata. Huko Afrika Magharibi ni utata mtupu. Kila rais anahofu kubwa. Je Afrika inawahitaji akina John Okello?
  9. Chizi Maarifa

    Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

    Huyu ni Mmoja wa Mashujaa wa miaka ile aliyeshiriki kuwaondoa Makoloni huko Zanzibar. Kama ambavyo Bara nao walikuwa wameondoa wao. Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka hiyo Che Guavera alikuja Tanzania mwaka 1965. Anasema Che alijaribu kuulizia habari...
  10. L

    Muda wa kumkumbuka John Okello

    Mganda kiongozi wa kikosi cha Mapinduzi ya Zanzibar. Wakati anampindua Mwarabu, Hayati Karume alikuwa Tanganyika amejificha. Okello aliongoza mapinduzi na akatangaza baraza la mapinduzi kisha akamtangaza Karume kama Rais wa Zanzibar. Usiku wa Mapinduzi Karume hakuwepo Zanzibar wakati JOHN...
  11. African Believer

    Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar na Kitendawili cha John Okello

    Leo January 12, 2022 ni sikukuu ya kitaifa ijulikanayo kama Mapinduzi ya Zanzinar ikiwa ni miaka 58 toka mapinduzi hayo yafanyike January 12, 1964 ili kuuondoa utawala wa Kisultan uliokuwa chini ya waarabu kutoka Oman. Ikiwa imepita miongo mitano toka mapinduzi hayo yafanyike bado kumekuwa ni...
  12. Chizi Maarifa

    Che Guevara alitamani sana kuonana na Mwanamapinduzi Field Marshall John Okello

    Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka hiyo Che Guavera alikuja Tanzania mwaka 1965. Anasema Che alijaribu kuulizia habari za Mwanamapinduzi aliyesaidia kuipatia Zanzibar Uhuru wake John Okello. Kwa his disappointment alishtuka kuambiwa the Man...
  13. P

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Mwaka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuwa na umwagaji mkubwa wa damu. Baada ya mapinduzi kufanikiwa John Okello [kiongozi wa mapinduzi] alichukua jukumu...
  14. BuletAngle

    Kuibuka na kuzama kwa John Okello. Kutoka kwenye kitabu cha kwaheri ukoloni, kwaheri uhuru!

    Mzee Selemani John Okello, hapa nakumbuka walitoka watu, wametoka watu hapa wakenda Pemba. Kwa hali ya kiuchunguzi. Je, Pemba tunaweza kuwapata wenzetu tukaja kusaidiana hapa? Wakatupa motisha? Kule nakumbuka mtu wa mwanzo aliekwenda kule alikuwa Ibrahim Makungu. Alikwenda na Jaha Ubwa, Mdungi...
  15. Mshume Kiyate

    Mapinduzi ya Zanzibar - Januari 12, 1964

    Wana JF. Usiku wa tarehe 12 Januari 1964 kundi la watu 300 walikitwaa kisiwa cha Unguja wakiongozwa na mtu asiyekuwa maarufu kipindi hicho, aliyekuwa akiitwa John Okello, John Okello alikuwa akiishi Pemba ambako alitokea Uganda miaka michache tu. Ndani ya Zanzibar Okello alipata umaarufu kwa...
Back
Top Bottom