Upande wa Jamhuri unatarajia kuwa na mashahidi 14 na vielelezo 17 katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake watatu.
Mbali na Dk Pima washtakiwa wengine ni aliyekuwa mkuu wa idara ya fedha na uchumi, Mariam Mshana...