Mkurugezi wa Huduma za Tiba Hospital ya Taifa Muhimbili(MNH) Dr. John C. Rwegasha ameteuliwa kushika wadhifa wa Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Tiba, Kamisheni ya Umoja wa Afrika -AU yenye makao yake mjini Addis Ababa Ethiopia ambapo anatarajiwa kuanza kazi February 2025
Elimu :
John C. Rwegasha...