Na John Walter
Katika kutoa hamasa kwa wanafunzi wa darasa la Saba kufanya vyema katika mitihani yao ya kuhitimu elimu ya Msingi, Diwani wa kata ya Nangara, mjini Babati mkoani Manyara ametoa kadi za Bima za Afya (ICHF) kwa wanafunzi katika kata hiyo.
Akikabidhi bima hizo Diwani wa kata ya...