Wanaharakati,
Kuna inshu moja inanikera sana katika serikali ya awamu hii mpaka nataka nihamie vyama vya upinzani. Kila unapopita ni ujenzi wa miundombinu unaendelea hadi imekuwa kero. Leo najipitia njia ya makaburini Sinza mara pap imefungwa ujenzi unaendelea, nikazunguka njia ya Bagamoyo...