Kwema wadau,
Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya Covid-19.
Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua Johnson & Johnson (sina uhakika na spellings)
Kwanini Johnson & Johnson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana...