Nafikiri ili ufiti vizuri kwenye siasa za panda shuka ukanda huu wa Afrika Mashariki, inabidi uwe mnafiki na unajitoa ufahamu kweli kweli.
"Handshake" ya Raila na Ruto haikutegemewa kabisa kutokana na msimamo wa wafuasi na viongozi wa ODM, kama ilivyo kwa upande wa Ruto, mvulana kutoka Sugoi...