jokakuu

  1. Ufafanuzi wa kisheria watolewa kufuatia kujiondoa kwa Jaji Elinaza Luvanda kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi wa Freeman Mbowe na wenzake..

    Kufuatia kujitoa kwa Jaji Elinaza Luvanda anayesikiliza shauri linalowakabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake watatu katika kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi iliyoko mahakamu kuu DSM, baada ya mshitakiwa namba 3 Freeman Mbowe kuonesha "kutokuwa na imani" naye, wengi...
  2. TANZIA Mwanasheria Mkuu wa Kwanza Mzalendo na Jaji Mstaafu Mark Bomani afariki dunia

    Habari zilizotufikia ni kwamba Mwanasheria Mkuu wa Tanzania, Jaji Mark Bomani amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Septemba 11, 2020, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Mtoto wake amethibitisha kifo hiki. Shughuli za msiba zipo nyumbani kwa Marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam. Jaji...
  3. Niunganishe na kazi ya umeme upate kamisheni ya asilimia 30

    Ndugu wadau, Kwa yeyote mwenye connection ya kazi ya umeme ya size ya chini na ya Kati, iwe ya nyumba au kiwandani, akiweza kuni connect nitakupitia 30 percent ya value ya kazi ukitoa materials. Kazi yote nitaifanya kwa ufanisi mkubwa. Kumbuka na risiti ya EFD inatolewa inapohitajika. Please...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…