jokate mwegelo

Jokate Mwegelo is the District Commissioner for Kisarawe. She is a politician. Before being appointed, she was an entrepreneur and a media personality. In July 2018, the President of the United Republic of Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli appointed Hon. Jokate Mwegelo as the new District Commissioner for Kisarawe district in Pwani region. She is a member of Chama Cha Mapinduzi, previously served as Secretary in charge of Public Relations and Mobilization UVCCM - youth wing of Chama Cha Mapinduzi.
She is one among Tanzania's youngest influential leaders and entrepreneurs. In 2017, Hon. Mwegelo was included in Forbes 30 Under 30 in Africa. In August 2017 she was named by Africa Youth Awards among the 100 Most Influential Young Africans. The 2018 Most Influential Young Tanzanians by Avance Media place her as the third most influential young Tanzanian and the most influential young Tanzanian under the category of Law and Governance .

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Pre GE2025 Tanga: Katibu Mkuu wa UVCCM Jokate Mwegelo aongoza matembezi wa Wana CCM kumkaribisha Rais Samia Tanga

    Wakuu, Wananchi wa Wilaya ya Tanga Mkoani Tanga wamejitokeza kwa wingi kushiriki matembezi ya pamoja yaliyoongozwa na Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kumpokea Rais Samia anayetarajiwa kuwasili mkoani humo leo Februari 23,2035 kwa ziara ya kikazi...
  2. Pre GE2025 CCM wanatoa wapi fedha za kununulia msululu huu wote wa Mabasi, kama sio Kodi za Wananchi ni nini?

    Wakuu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Jokate Mwegelo ame-share video hii ya Mabasi (Yutong Bus) ya CCM katika msafara ukielekea Dodoma kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa unaotarajiwa kufanyika Tarehe 18-19 Januari, 2025. Soma: CCM kufanya mkutano mkuu Januari...
  3. LGE2024 Jokate: Rais Samia ameuthibitishia ulimwengu Tanzania ina Demokrasia imara, vyama vina wagombea na kampeni zimeisha kwa amani

    Wakuu, Mkuu wa UVCCM Taifa Jokate Mwegelo amesema Rais Samia ameuthibitishia Ulimwengu kwamba Tanzania ina demokrasia kwasababu hadi sasa hakuna machafuko yaliyotokea kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vyama vingi vinashikiri ambapo amewataka pia Vijana ku kutothubutu kujiingiza katika...
  4. LGE2024 Jokate Mwegelo, Helmeti iko wapi kwenye msafara wako wa pikipiki mkoani Njombe?

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amepokelewa katika ofisi za CCM Mkoa wa Njombe leo Novemba 26, 2024 kwa lengo la kufunga Kampeni Uchaguzi wa serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji zitakazofanyika Kata ya Ulembwe, Wilaya ya Wanging’ombe...
  5. LGE2024 Jokate: CCM ndio chama kinachoheshimu Demokrasia

    Wakuu, Ya kweli hayo? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ===== Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo, amezindua rasmi kampeni za...
  6. J

    Pre GE2025 Jokate Mwegelo: Vijana tusitumike kama mgongo kwa wengine kwa maslahi yao kuelekea uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa Joketi Mwegelo amewataka vijana wa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi zijazo. Akizungumza kwenye ziara ya siku moja akiwa Mkoani Iringa Katibu huyo mbele ya vijana amewataka...
  7. J

    Jokate Mwegelo apewa tuzo ya ubalozi wa Afya ya Akili

    CDE JOKATE APEWA TUZO YA UBALOZI WA AFYA YA AKILI 31 MEI, 2024 UVCCM HQ Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) - Cde. Jokate Urban Mwegelo apewa Ubalozi wa afya ya akili kutoka Hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe leo Mei 31,2024 jijini Dodoma ambapo...
  8. Jokate Mwegelo: Mpaka sasa Raia Samia hajakosea chochote, tukatae wote wanaotaka kumdhoofisha

    Tukatae watu wanaotaka kumdhoofisha mwenyekiti wetu (Wa Chama Cha Mapinduzi Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ameongeza kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania imefiwa na Rais akiwa madarakani, ingeikuwa nchi nyingine basi pangechimbika, lakini kwa Tanzania...
  9. Jokate Mwegelo Aainisha Mapinduzi Makubwa Katika Sekta ya Elimu Zanzibar

    📌📌KOMREDI JOKATE MWEGELO (MNEC) AAINISHA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA SEKTA YA ELIMU ZANZIBAR Asema Vijana wanayo kila Sababu ya Kumuunga Mkono Dkt. Mwinyi Mambo Mengi makubwa Dkt. Mwinyi ameyafanya kwa Kipindi Kifupi Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Konresi Jokate...
  10. Uteuzi wa Jokate Mwegelo ni uteuzi wa viwango

    SALAMU ZA PONGEZI KWA JOKATE MWEGELO ( KATIBU UVCCM - TAIFA ) Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Uteuzi wa Jokate kuwa Katibu wa UVCCM ulinisisimua kiasi cha kushindwa kulema lolote kwa kipindi tangu alipoteuliwa. Jokate ni kiongozi mwenye mvuto mkubwa kwa wananchi wa kawaida, kutokana n...
  11. J

    Jokate Mwegelo ni kiungo sahihi cha utendaji UVCCM

    Anaandika Humphrey Shao wa Msakuzi Kaskazini. kiongozi ni lazima awe ni yule anayejishugulisha kufikri kwa sababu ya watu na awe anaendana na watu anawaongoza naona huu ndio Mtazamo uliomuongoza Dkt. Samia Suluhu Hassan kumchagua Mdada Mtanashati Ndugu Jokate Urban Mwegelo kuongoza jumuiya...
  12. N

    Pre GE2025 Jokate Mwegelo: Wanawake ifike mwisho kuwapigia kura wanaume

    "Tutakwenda kuhakikisha tunaongeza ushiriki wa Wanawake kwenye hizi chaguzi kwa Wanawake wenyewe kugombea. Ufike mwisho wakati wa Wanawake kuwa ndugu watazamaji na wasindikizaji na ifike mwisho Wanawake kuwa ni sehemu ya kuwapigia kura Wanaume wakati ninyi mna uwezo wa kugombea". Jokate...
  13. J

    Jokate Mwegelo Katibu Mkuu wa UWT, kuongea na Wanahabari

    CDEOKATE MWEGELO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA KUPITIA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC), Katibu Mkuu wa UWT, anatarajiwa kuzungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa habari. Mkutano huo utafanyika Ofisi ndogo ya UWT Taifa, Lumumba Jijini Dar es salaam...
  14. Jokate Mwegelo anatukosea sana kwa kuchagiza mimba mashuleni, adhibitiwe haraka!

    Nimeona video clip ikimuonyesha mwenyekiti wa UWT Jokate Mwegelo akiwapongeza wasichana waliofanya mtihani wa kidato cha 4 huku wakiwa wananyonyesha watoto wachanga wa siku 3 hadi 8. Frankly speaking mimi binafsi naanza kuona hii nchi sasa tunaongozwa na mataahira, infact nikaja kugundua...
  15. J

    Wasanii Kilimanjaro wavutiwa na uteuzi wa Jokate Mwegelo UWT, warudisha kadi za upinzani

    WASANII KILIMANJARO WAVUTIWA NA UTEUZI WA JOKATE MWEGELO UWT, WARUDISHA KADI ZA UPINZANI Wasanii Kutoka Mkoa wa Kilimanjaro wahamasika na Uteuzi wa Katibu Wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Jokate Mwegelo na Wajiunga na CCM warudisha Kadi za vyama vya Upinzani hayo yamefanyika katika...
  16. Mbunge Ntate Katika Mapokezi ya Katibu Mkuu UWT Taifa, Jokate Mwegelo

    Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) kutoka Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 04 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Jokate Mwegelo yaliyofanyika katika Ofisi za CCM Mkoa wa Dar es...
  17. Jokate Mwegelo ateuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Taifa, iliyokutana katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM). Katika kikao...
  18. Jokate Mwegelo ateuliwa kuwa kati ya Vijana watakaowakilisha ndani ya Mtandao wa Kimataifa wa Vijana unaochagiza maamuzi makubwa

    Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Jokate urban Mwegelo @jokatemwegelo ameteuliwa kuwa mmoja kati ya Vijana wachache mahiri watakaowakilisha ndani ya Mtandao wa Kimataifa wa Vijana unaochagiza maamuzi makubwa ulioko chini ya Club de Madrid. Club de Madrid ni jukwa kubwa Duniani...
  19. J

    Miaka 20 ya Maranatha: DC Jokate ashiriki ibada, aomba viongozi wa dini kuombea serikali

    MIAKA 20 YA MARANATHA DC JOKATE ASHIRIKI IBADA, AOMBA VIONGOZI WA DINI KUOMBEA SERIKALI. Na Miko Luoga Tanga Mkuu wa wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo amewaomba viongozi wa dini na waumini wilayani humo kuwaombea viongozi wa serikali na ardhi ya Tanzania ili Taifa liendelee kuwa...
  20. J

    Mkuu wa Wilaya Jokate awataka wahandisi wa maji kutatua changamoto za maji Korogwe

    DC JOKATE AWATAKA WAHANDISI WA MAJI KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAJI KOROGWE Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe Jokate Mwegelo amewataka Wahandisi wa Maji Wilayani Korogwe kutatua changamoto za maji zilizopo ndani ya uwezo wa mamlaka hiyo. Akizungumza kwenye kikao Cha Taftishi kuhusu ombi la kurekebisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…