Akizungumza na Wanahabari, leo Ijumaa Oktoba 27, 2023, Jokate Mwegelo Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) amesema viongozi bora wanatakiwa kutengenezwa kuanzia ngazi ya chini.
Amesema “Hatuwezi kuwa na viongozi bora bila kutengenezwa, viongozi bora wanatoka kwenye familia, wanatoka...