jokate

Jokate Mwegelo is the District Commissioner for Kisarawe. She is a politician. Before being appointed, she was an entrepreneur and a media personality. In July 2018, the President of the United Republic of Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli appointed Hon. Jokate Mwegelo as the new District Commissioner for Kisarawe district in Pwani region. She is a member of Chama Cha Mapinduzi, previously served as Secretary in charge of Public Relations and Mobilization UVCCM - youth wing of Chama Cha Mapinduzi.
She is one among Tanzania's youngest influential leaders and entrepreneurs. In 2017, Hon.Mwegelo was included in Forbes 30 Under 30 in Africa. In August 2017 she was named by Africa Youth Awards among the 100 Most Influential Young Africans.. The 2018 Most Influential Young Tanzanians by Avance Media place her as the third most influential young Tanzanian and the most influential young Tanzanian under the category of Law and Governance .

View More On Wikipedia.org
  1. DC Jokate: Zaeni watoto mtakaomudu kuwalea ili kupunguza watoto wa mtaani wakiwemo Panya Road

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo, amewataka wananchi hasa wazazi kuhakikisha wanazaa watoto ambao watawamudu kuwalea ili kuepusha nchi kuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani ambao wengine wanaamua kujiingiza kwenye vitendo vya uhalifu ikiwemo panya road. DC Jokate ametoa kauli hiyo...
  2. Panya road 100 wakamatwa Temeke

    Mkuu wa wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amesema ndani ya siku mbili zaidi ya wahalifu 100 wamekamatwa wakiwemo vijana wanaojiita ‘panya road’ ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo mbalimbali vya uhalifu wa kuvamia nyumba na kupora mali pamoja na kuwajeruhi watu Source: #EastAfricaRadio MY...
  3. Mfahamu Jokate Mwegelo (Kidoti); Kuzaliwa Marekani, Urembo, kipanga darasani, Mapenzi, Siasa

    Kabla hajaukwaa Ukuu wa Wilaya, moja ya habari kubwa zaidi kumuhusu Jokate Mwengelo ambayo iliwahi kutikisa bara zima la Afrika, ni pale ambapo jarida bora zaidi ulimwenguni la Forbes lilipomtaja kuwa ni miongoni mwa vijana 30 bora kwa bara la Afrika ambao wana potential kubwa kuleta mapinduzi...
  4. J

    DC JOKATE: Viwanja vya michezo vya Kisasa kujengwa Temeke Mwembe Yanga

    Ujenzi wa kituo cha Michezo cha Kisasa kuanza kujengwa katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke - DC Jokate Mwegelo
  5. Hali ya Usalama Wilayani Temeke si nzuri

    === Anaandika Vicent Kasala Twiter HALI YA USALAMA TEMEKE NI MBAYA! DC Jokate Mwegelo, Salam, Nakuandikia kwa dhamana yako kama Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Temeke. Awali ya yote pole kwa majukumu ya kuwatumikia wananchi. Mimi ni mwanachi wako katika Wilaya ya Temeke...
  6. Sekta ya utalii imekuwa haizungumzwi sana ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Temeke ukilinganisha na maeneo mengine hapa nchini

    DC JOKATE AHAMIA SEKTA YA UTALII TEMEKE. Sekta ya utalii imekuwa haizungumzwi sana ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Temeke ukilinganisha na maeneo mengine hapa nchini hali inayofanya baadhi ya wananchi kutotambua vivutio vinavyopatikana nndani ya Halmashauri ya manispaa hiyo. Kwa kuliona...
  7. Mchongo wa Kompyuta za Sh milioni 132 huu hapa, Jokate Mwegelo ametumika

    Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa kushirikiana na asasi ya BRAC-Maendeleo, imetoa kompyuta 120 zenye thamani ya Sh milioni 132 kwa shule tatu za Wilaya ya Temeke kwenye mradi wa “Skills for Their Future”. Kompyuta hizo zilikabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo, kwenye hafla...
  8. Jokate Mwegelo na Luka 12:27

    Maua yapendeza kuona, Suleiman katika fahari yake yote lakini hakuvikwa vizuri kama Moja WaPo ya hayo Maua. Itoshe kusema kwamba Jokate Ni ua Zuri lipendezalo. " Her extremely beauty should be prescribed by medical doctors for happiness"
  9. Bilioni 4 zimetengwa kutatua changamoto za barabara ndani ya manispaa ya Temeke

    Mhe. Jokate Mwegelo: ZAIDI YA BILIONI 4 KUBORESHA BARABARA TEMEKE. Kiasi cha fedha zaidi ya shilingi bilioni nne kimetengwa kwa ajili ya kutatua changamoto za barabara ndani ya manispaa ya Temeke katika bajeti ya mwaka wa fedha 2022/23. Hayo yameelezwa na Mratibu wa Wakala wa Barabara za Mjini...
  10. J

    Temeke: Madiwani Viti Maalumu wakutana na DC Jokate Mwegelo

    MADIWANI VITI MAALUM WAKUTANA NA DC. JOKATE Madiwani wa Viti Maalum wakutana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Jokate Mwegelo lengo ni kujadiliana mambo mbali mbali yanayohusu wanawake katika Wilaya ya Temeke pamoja kushirikiana kwenye mambo mbali mbali ya kijamii na Maendeleo
  11. W

    #COVID19 Wanafunzi waanza kufaidi madarasa yaliyojengwa kwa Pesa za Tozo na mkopo wa COVID-19

    Wanafunzi wa Kidato cha 1 kwa mwaka wa masomo 2022 ambao wameanza kutumia madarasa mapya yaliyojengwa kutokana na fedha za mpango wa maendeleo kwa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko 19. Tukio tukio limefanyika katika Shule ya Sekondari Karibuni ambapo DC Jokate ametumia fursa hiyo kumshukuru...
  12. J

    DC Jokate kuongoza mapokezi ya kidato cha kwanza leo Temeke. Kwa mara ya kwanza hakuna aliyekosa darasa

    Temeke Tukutane Shuleni. Asante Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa maono yako. Leo tunaanza kupokea wanafunzi. Tukutane Mubashara kabisa muda huu kupitia Channel Ten na vyombo vingine vya habari!!!! Kazi Iendelee 🇹🇿
  13. J

    DC Jokate: Hatulazimishi watu kufanya usafi, bali litakuwa zoezi shirikishi

    DC JOKATE: HATULAZIMISHI WATU KUFANYA USAFI, BALI LITAKUWA ZOEZI SHIRIKISHI Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo amezindua kampeni ya "Pendezesha,safisha Dar es salaam" yenye lengo la kusafisha mkoa wa Dar es salaam. Akizungumza katika eneo la Zakhem Mbagala, ambapo kampeni hiyo...
  14. Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegele aja na Temeke Gulio-Soko la Makangarawe limekamilika

    MKUU WA WILAYA WA TEMEKE MHE JOKATE MWEGELO AJA NA TEMEKE GULIO - SOKO LA MAKANGARAWE LAKAMILIKA Rasmi sasa Tarehe 19/11/2021 ndani ya Soko Letu La Makangarawe WanaTemeke tunaenda kuandika Historia kwa namna ambavyo wafanyabiashara wadogo wadogo walivyoitikia wito wa kuhama maeneo yote yasiyo...
  15. J

    DC Jokate akagua miundombinu ya masoko Wilayani Temeke

    DC JOKATE: AKAGUA MIUNDOMBINU YA MASOKO WILAYANI TEMEKE Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegelo amefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu katika maeneo ya masoko waliyohamishiwa wafanyabiashara Wadogo maarufu Machinga, leo Novemba 10,2021 huku akiambatana na baadhi ya viongozi na wakuu wa...
  16. J

    DC Jokate: Mikopo kwa wamachinga

    DC JOKATE: MIKOPO KWA WAMACHINGA "Kuhusu Machinga tunashukuru tumeendelea kushirikiana vizuri na Viongozi wetu wakaeleza maeneo fulanifulani ambao walikuwa wanahitaji tuangalie kwa jicho la tatu, zoezi linaenda vizuri tumefufua masoko ambayo yalikufa" "Tumeielekeza Manispaa kwamba walioingia...
  17. Temeke: DC Jokate atimiza ahadi kwa wafanyabiashara Makangarawe

    DC JOKATE ATIMIZA AHADI KWA WAFANYABIASHARA MAKANGARAWE Leo Oktoba 20,2021 Mkuu wa wilaya wa Temeke kupitia mwakilishi wake kaimu Afisa Tarafa Mbagala Bi. Theodora Malata ametembelea soko la Makangarawe na kutimiza ahadi ya kuchangia biashara ya kila mfanyabiashara ndogo ndogo sokoni hapo kama...
  18. J

    DC Jokate: Tushirikiane kuipamba Temeke

    "TUSHIRIKIANE KUIPAMBA TEMEKE" DC JOKATE. Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Urban Mwegelo leo Septemba 20,2021 amefanya kikao na viongozi wa machinga wilaya ya Temeke,watendaji wa mitaa, kata na kamati ya ulinzi na usalama kuangazia suala zima la uhamishwaji wa wafanyabiashara ndogo...
  19. J

    DC Jokate Mwegelo: Namuunga mkono Rais Samia 2025

    "NAMUUNGA MKONO MAMA 2025" "Ni kweli kabisa 2025 ni mwaka wa kumuweka Rais Mwanamke Ikulu, ni wakati sasa wa Wanawake wote kuungana na kutumia fursa hii kufanikisha hili na kuendelea kuandika historia Tanzania, naamini Wanaume pia watatuunga mkono maana nia ya Mama kulitumikia Taifa letu wote...
  20. Temeke: DC Jokate Mwegelo aagiza kuwekwa chini ya ulinzi, Viongozi wa Chuo cha Lubondo Training College

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. JOKATE MWEGELO Aagiza Kuwekwa Chini ya Ulinzi Mkali Viongozi wa Chuo cha LUBANDO TRAINING COLLEGE Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo ameagiza kuwekwa chini ya ulinzi kwa Viongozi wa Chuo cha Lubando Training College kilichopo Mtaa wa Butiama, Kata ya Mtoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…