Ama kwa hakika Tanzania ingepata viongozi wenye kujitoa bila kujali maslahi yao binafsi,ubabe,majivuno,ukandamizaji na kiburi cha madaraka nchi ingesonga sana hii
Kwa anayoyafanya huyu binti kule Kisarawe hakika yanafaa kuigwa,sema tu nature ya wakazi wa wilaya yenyewe sio wachakarikaji...